CCM Morogoro gogoro?! Kisa CHADEMA?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Morogoro gogoro?! Kisa CHADEMA?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Aug 5, 2012.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Wana JF,

  si mulisikia kuwa CDM walikuwa wafanye mkutano hapa mjini mrogoro jana mchana?! Si mulisikia kuwa polisi/ serikali ilikataa mkutano usifanyike kwa kisingizio kuwa hapakuwa na polisi wa kutosha kuwalinda?!. Sasa fununu nilizozipata hapa Mjini Morogoro ni kuwa CDM wamekubaliana na polisi kuwa mkutano ufanyike huko kilosa kwenye siku waliyokubaliana

  8ehind the screen story ni kuwa wabunge wa morogoro mjini kupitia CCM ndio walioshinikiza mkutano huo usifanyike morogoro mjini kwani mkutano huo utawafifilisha kisiasa. Sasa maoni yangu ya mshangao ni kuwa, Je; ccm hiyohiyo imeamua kumtoa kafara mbunge wa jimbo la kilosa mh. Mkullo?!.
   
Loading...