"Wafanyakazi" : Liwapi Gazeti lenu la Mfanyakazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Wafanyakazi" : Liwapi Gazeti lenu la Mfanyakazi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bluetooth, Aug 5, 2012.

 1. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Gazeti la Mfanyakazi lilikuwa ni gazeti lililokuwa mashuhuri sana kabla ya magazeti binafsi hayajaanza, pamoja na umiliki wa umma na serikali lakini lilijitahidi kutoa habari makini na za utetezi wa umma hasa wafanyakazi

  kulikoni gazeti hili ?

  Nawashauri TUCTA walifufue kwani litaweza kuwa nuru ya utetezi na kuhabarisha wafanyakazi katika mambo muhimu ya maslahi yao na ajira zao kama vile sheria hii mpya kandamizi ya mifuko ya jamii

  Mimi Mdizi ni Mkulima na mfugaji
   
 2. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kabla hawajalifufua lazima wajiuliza kwanini lilikufa, kisha wajiulize tena walipojaribu kulifufua tena ni nini kilitokea, ndiyo waingie mzigoni kulifufua gazeti hilo.
   
Loading...