Wahamiaji Haramu 39 wanusurika kifo Himo-Moshi

Mkatavimeo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
2,150
868
Breaking news kutoka ITV hivi punde zinasema, polisi, imekamata wahamiaji wengine 39 wakiwa wanasafirishwa na Canter maeneo ya Himo.

Wakati wakipelekwa kituo cha polisi himo, dereva wa lori hilo alijaribu kukimbia na akalipeleka mtaroni lori hilo kwa makusudi na likapata ajali. Dereva alifanikiwa kuruka na kukimbia, na wahamiaji 27 walijeruhiwa vibaya na wamepelekwa hospitali ya KCMC moshi mjini.

SOURCE; ITV.
 
Huu upuuzi umeshinda mjanja aatauweza yule mtoto wa kizenj mnacheza na doller nini???uhamiaji kunanuka lakini mmmh
 
Ikiwa na wiki kadhaa baada ya Wahamiaji haramu kutelekezwa ktk pori huko Dodoma..leo zaidi ya Wahamiaji 30 wamekamatwa wakiwa wamepata ajali mbaya ya roli eneo la Himo...27 kati ya Wahamiaji hao wapo KCMC na mmoja yupo ICU baada ya kuumia sana!Jeshi la Polisi mkoa wa K'njaro linaendelea na upelelezi kujua hasa ni nani waliohusika. Hii inatokea siku moja baada ya serikali ya Tanzania kupitia idara ya Uhamiaji kurudisha wahamiaji haramu wa Ethiopia zaidi ya 50 kwa kuwasafilisha kwa njia ya ndege. Kwa hali hii kweli mipaka yetu ipo salama?
 
hao ni sehemu ndogo tu tunayobahatika kuwagundua, wanaopita ni wengi sana usipime!
 
Ikiwa na wiki kadhaa baada ya Wahamiaji haramu kutelekezwa ktk pori huko Dodoma..leo zaidi ya Wahamiaji 30 wamekamatwa wakiwa wamepata ajali mbaya ya roli eneo la Himo...27 kati ya Wahamiaji hao wapo KCMC na mmoja yupo ICU baada ya kuumia sana!Jeshi la Polisi mkoa wa K'njaro linaendelea na upelelezi kujua hasa ni nani waliohusika. Hii inatokea siku moja baada ya serikali ya Tanzania kupitia idara ya Uhamiaji kurudisha wahamiaji haramu wa Ethiopia zaidi ya 50 kwa kuwasafilisha kwa njia ya ndege. Kwa hali hii kweli mipaka yetu ipo salama?

who is paying for deportation cost?, mimi nadhani hawa wahamiaji( somali, ethiopia, eritrea) huwa movement zao ziko monitored na serikali ama chama tawala, so monitor hulipwa donge nono. Ndo maana ni rahisi kwa serikali kukodisha ndege ya kuwarudisha kwao but hakuna fedha za kununulia vifaa vya hospitali na kulipa malimbikizo ya madai ya walimu. Tunahitaji mabadiliko.
 
Back
Top Bottom