Nani mzito zaidi hapa?

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Tangu nimalize kadiploma kangu pale chou cha diplomasia huwa najikuta nikifuatilia hadhi na matanuzi ya wakuu wa nchi yetu. Jambo moja linalonipa swali ni kuhusu hawa wazito wawili ambao nina mazoa ya kuwa karibu na ofisi zao; mkuu wa majeshi na waziri wa ulinzi. Mara nyingi sana namuona mkuu wa majeshi anaingia kazini na kutoka akiwa na king'ora cha polisi lakini si kwa waziri wa ulinzi. Ndio maana nauliza wanaJF wajuao protokali, nani mzito kati ya hawa?
 
King'ora cha polisi au king'ora cha polisi jeshi 'MP' mkuu?
 
una hoja unayo Nape, sema umeiweka kifasihi sana kiasi cha kwamba wasomaji wengine hatukuelewi. Na huenda kosa la msingi limefanywa na mtoa hoja ambaye amekimbilia kukushambulia badala ya kutoa hoja. Angeuliza hivi, Nape unajiskiaje kutokana na maendeleo ya siasa ndani ya chama chako hasa baada ya mwenyekiti kuuthibitishia umma kuwa Mh. Chenge ni safi na juzi kwenda Monduli kukabidhi ngombe kazi ambayo hata waziri wa mifugo angeifanya, na tafsiri ya wengi ni kuwa ameenda kuuonesha umma kuwa Mh. Lowasa ni safi. Je matendo haya ya mwenyekit wako yatakubadilisha mtazamo wako juu ya watu hawa? Nini maoni yako. JAMANI NAOMBA TUSIKIMBILIE KUTOA LUGHA CHAFU AMBAZO MWISHO WA SIKU ZINATUFANYA TUKOSE KUPATA TAARIFA NA KUWAPA WATU HAKI YAO YA MSINGI YA KUJIELEZA. Mhe. Nape ningeomba unijibu maswali yangu.
 
Back
Top Bottom