Kesi ya jairo imefikia wapi jamani;;huu wizi wa kusimamishana kila siku mpaka lini

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Aiiiiii m nshachoka sasa kila sehemu waanaiba wansimamishwa
hata mara moja usikii mtu kalambwa miaka 10/25 kwa wiizi
sasa mwishoni na rais nae atasimamishwa sijui tunaelekea wapi
mh raisi kikwete embu funguka haya mambo utueleze else tunawiwa
kutamka haya mambo yanahusika na ikulu moja kwa moja na kuondoa
uaminfu kabisa machoni pa wa watnzania

mhando huyo nae kaiba kasimamishwa mnasimamisha then what??mbona amuwalambi
miaka jamani .....unampa mkeo tenda ya million 8840 huna adabu kabisa ukipewa miaka
5 si unajimilikisha hati ya jengo la tanecso ubungo

embu tuambie mh kikwete huu wizi unaisha lini??/
jairo kaiba kasimamishwa huyoooooooooooooooooo na huyu tena kaiba huyooooooooooooooooo loh
 
Back
Top Bottom