Muheshimiwa Kikwete Unajua hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muheshimiwa Kikwete Unajua hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Codon, Aug 5, 2012.

 1. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwakajana 2011 taifa hili lilifanya maazimisho yakusheherekea miaka 50 ya Uhuru!Wizara mbalimbali zilishiriki ikiwemo Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii kitengo cha Maafa.Watumishi mbalimbali (Madaktari,Manesi,Wafamasia na Wahumudu wa afya pia Madereva wa Ambulance)walishirikishwa toka Manispaa zote tatu,Moi na Muhimbili.Na imekuwa ikielezwa sherehe zile ziligharimu taifa bilions of money!Chakushangaza nakusikitisha watumishi woote waliotajwa hapo juu hajapewa malipo yao kwakufanya kazi siku kumi nambili usiku namchana kuangalia Afya zawageni waalikwa pia viongozi na wanachi siku husika yaani tar 12!Inasemekana makundi mengine yalilipwa kipindi kilekile.Hali hii inaumiza sana,sijui nikudharau watu afya au kuna watu wakula hiyo hela!Haki itendeke!
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  Kumbe hata nyie wa 'jikoni' mnadhulumiwa? Huku tulishazoea kuikopesha serikali dhaifu.
   
 3. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu Ndebile,watu wamefuatilia wizara ya afya mpaka wanaanza kuchoka!Mbaya zaidi kunamagroup yawatumishi wauma walioshiriki hili tukio tena wawizara hii ya Afya wamelipwa nawalishasahau!Kitengo cha maafa wizara ya Afya wanadai eti linashughulikiwa!Hii inaleta mtazamo gani endapo watumishi hawa wataitajika tena?
   
Loading...