kero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kero

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by simpo, Aug 6, 2012.

 1. s

  simpo New Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiukweli inaboa na inakera,serikali ilitangaza kuwa zoezi la sensa litakalofanyika tarehe 26.8.2012 litafanywa na walimu ambao watapewa kipaumbele,cha kushangaza walimu hao wengine hawakupewa nafasi hizo na badala yake wamepewa wasiokuwa na sifa za ualimu na pia walitangaza katika baadhi ya halmashauri mfano halmashauri ya kigoma vijijini kuwa watu walioomba hawatoshi hivyo waliagiza maombi yatumwe kwa mara ya pili na watu wakatuma lakini baadhi ya walimu hawakupata nafasi, hii nini sasa? walimu wengi wamechakachuliwa,inaboa sana
   
 2. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kwani ukiomba kazi lazima upate,after all mwajiri ndio anaamua vigezo vya mtu anayemtaka.................nani kakwambia kuwa sifa iliyotakiwa kufanya kazi ya sensa ni ualimu?...............tena si mmetangaza mgogoro na huyo mwajiri mnayetaka awape kazi ya sensa?
   
Loading...