Wizara ya utalii na maliasili mko wapi olimpiki (london) kuonyesha vivutio tanzania??

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Mchuano ya Olimpiki bado haijafika mwisho.

Waziri na wizara mmeshidwa nini kufungua banda kwenye michuano ya olimpiki ili kujitangaza ?

Michuano ya Olimpiki ingekuwa rahisi kuwakaribisha kina Beckham , Hussen bolt na kuwaonyesha vivutio kutumia jina la RAISI JK Kwani halishasafisha njia kwa BECKHAM , tatizo nini?
:israel:
Naomba kitengo cha matangazo na soko kiVunjwe wawekwe watu wenye maono ya mbali..

Punguza siasa.


Mfano Nigeria wamefungua NIGERI HOUSE;
 

Attachments

  • NIGERIA.png
    NIGERIA.png
    123.4 KB · Views: 42
mkuu kwenye olympic london matangazo mazuri hufanyika kwa nchi kuchukua Medali na siyo kujenga vibanda tu vya matangazo.Sasa nchi haichukui medali yoyote hivyo vibanda vitavutia kweli watu kuvitembelea?
 
Back
Top Bottom