Sumry huu sasa uhuni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumry huu sasa uhuni.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maguguniga, Jul 29, 2012.

 1. M

  Maguguniga Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Basi la Sumry kutoka Mbeya to Sumbawanga ambalo lilikuwa litoke Mbeya Saa 4 kamili mpaka sasa ni saa 6 hakuna dalili zozote za kuondoka hata basi lenyewe halipo stand. Hivi wahusika wa Sumry huu tuite nini? Ukiwauliza hawana hata majibu mazuri. Mara liko garage kwanini mkatie watu ticket kwa basi bovu? Nawasilisha.
   
 2. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Dah me baba aliniambia hayo mabasi ni ya kihuni nilikua mbishi ila yalinikuta makubwa so nimeamia Green Star,
   
 3. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushindani wenu wa biashara musilete humu hii jamiiforums mnataka iwe mtaro wa kupokea maji taka!
   
 4. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Sasa ushindani gani? Kuna mtu ameshindanisha chochote hapa? Au mimi kutaja Green star? User Name: Rebel
  volcano
  User Title: Senior
  Member
  Last Activity: Today
  13:40
   
 5. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  User Name: Rebel
  volcano
  User Title: Senior
  Member
  Last Activity: Today
  13:40
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Tatizo la route ya Mbeya-Sumbawanga hakuna mabasi mengine tofauti na Sumry
   
 7. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  soma tkt yako ama umenunua tu bila kujua masharti ya safari ..hili ni tatizo kubwa sana ..........
   
 8. M

  Maguguniga Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ushindan upi sasa wa kibiashara hapo? Tusiseme ukweli wa kile kinachotokea mi mwenyewe nikiwa eneo la tukio.
   
 9. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Yapo mengi sana, uzuri wa Sumry abiria wakienea kwenye viti hasimamishi abiria, mabasi mengine yote abiria hujazana hadi unasimama kwa mguu mmoja kwa kukosekana sehemu ya kukanyaga.
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Yote yanasimamisha Abiria japo nikiri Green Star haiendi Swanga.
   
 11. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nilipanda Sumry kwenda Mwanza nilijuta,kwanza safari kama ya kwenda Mwanza ilikuwa na dereva mmoja,polisi wa pale kituo cha mabasi Morogoro alihongwa ili kuruhusu hilo gari,tulifika Hungumalwa saa 7 usiku ilibidi dereva apaki pembeni alale kwani alikuwa amechoka na mwendo wa basi ni kama linaenda sindikiza harusi ,tuliambiawa hizo UD hazina nguvu zimechoka na siku ileile abiria wa kwenda Songea kutokea Ubungo sijui waliondoka saa 6 mchana baada ya mbinde.Sumry magari yake yamechoka na haya mabasi yake mapya kutoka Malysia nayo ni kama kanyaboya hayafai.Kwa anayebisha asafiri na basi la Sumry ndio atajua kuwa hayo malalamiko ni ya kweli.
   
 12. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Hao watu walishanipotezea mzigo wangu hao Sumry...
  Ni kama Saibaba, walipokea mzigo wangu haukufika, nilipowapigia wakaniambia kiwepesi kweli, eti mzigo umepotea!
  Ovyo kabisa hawa watu
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ushaondoka au bado....
   
 14. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Huyu bwana cku izi kafulia,logicles za ushndani wa biashara hazitakiwi ktk ili.Juzi kati hapa,abiria toka Swanga to Mbeya,walipiga kunji Sumbawanga Term.Stand,sababu kama izo,waliondoka jion,kama bado haitoshi ulizia abiria walosafir j3 kwenda Mbeya na bas la sa 12,ni kwa sababu trafc wa huku wanalala lakn watu walitaka kuwapeleka Kituon.Mtu amekata tket toka jmos anapanda gar anakuta hakuna namba ya seat,kama ipo kit kama cha treni.Tunasubiria lami ikamilike atakoma jeuri yake.Pole sna mkuu kwa maswaibu hayo.Sumry cyo dili tena
   
 15. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  mmiliki wake pinda anafahamu?
   
 16. the locksman

  the locksman JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 60
  si kweli kabisa,basi la sumry linasimamisha sana had kushindwa kupata hewa nzuri ndani ya basi.
  lile linaloondoka saa 2 lipo ok,lakini lile la saa kumi na mbili na saa 4 ni balaa tupu.
   
 17. k

  kimondo msolopa Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  SUMRY sitaki kulisikia nilikata tiketi toka Dar kuja Mbeya basi la saa 12 asbh lakini tuliondoka ubungo saa tano kasoro baada ya vurugu kali kati ya abiria na wenye basi baada ya kukaa pale ubungo bila taarifa yoyote kumbe basi bovu, gia haziingii, tumefika Mbeya saa sita kasoro sijui wa Tunduma waliingia saa ngapi mungu wangu. USIPANDE SUMRY!!!!!!!!!
   
 18. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,079
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ni kawaida a sumry kufanya ushenzi huu. si mara moja nikiwa na safiri na sumry wakachelewesha kuleta basi au lisije kabisa na kupoteza muda mwingi kusubiri mbadala wa basi hilo na huku likija mkao umevurugika kwa utofauti wa mabasi hayo na kuwaacha wateja kugombana bila wao kutoa msaada. kwa kweli huduma yao ni mbovu lugha yao mbovu ili mradi tu watu wakati mwingine hukosa namna na kulazimika kuyapanda mabasi hayo.
  kwangu mimi ni bora nikaahirisha safari yangu kuliko kupanda mabasi hayo yameshanikuta makubwa kupanda mabasi hayo
   
 19. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,079
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  kama ulikuwa na risiti ya kusafirisha mzigo huo ungewashitaki sasa tatizo hongoo inapindisha haki atahonga na kutupwa hilo swala pembeni.tabia mbovu sana ya kupoteza mizigo ya watu na kujibu kirahisi tu umepotea eboooo
   
 20. 1

  19don JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hilo la kijani panda linalo enda mbeya tu usije ukapanda la kahama singida sijui utaomba upande sumry tena
   
Loading...