Ouko's Death Report Released... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ouko's Death Report Released...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by trplmike, Aug 6, 2012.

 1. t

  trplmike JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Ninawakumbusha tuu watawala wa Tz haitajalisha miaka mingapi itapita ila ipo siku moja ukweli juu ya ULIMBOKA, KOLIMBA, KOMBE na wengine wengi utajulikanika, na mwisho wenu utakuwa mbaya sana! Si hayo tuu hii mikataba feki ambayo mnaingia, kutumia mahakana kuzuia haki za watu nawakumbusha tena haitajalisha itachukua miaka mingapi lakini ukweli siku moja utawekwa hadharani !
  Nani ambae alijua issue ya ROBERT OUKO baada ya miaka 20 ingeibuliwa upya na
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inasemaje hiyo report mkuu,,tafadhali. Jamaa alikuwa kichwa sana
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Aisee huu uzi mbona umeishia kwenye UPYA NA????? au UmeKopy na Kupest!!!!
   
Loading...