Utafiti ukoje kuhusu hili?

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Ukiwachukua watoto wawili wadogo wakike na wakiume ambao hawajaanza kuongea neno lolote ukawatenga peke yao kabisa hadi wakifika umri wa kubalehe. Kwanza nadhani hawatajua lugha yoyote zaidi ya ishara tu. Pili miili yao itakapokuwa inasisimka kimapenzi watajuwaje kuwa kitu fulani kinatakiwa kidumbukizwe mahali fulani katika suala zima la reproduction?
 
Mzee hapo hakuna lugha wala darasa, ni sawa na kipofu kuweka chakula puani au kichwani! kumbuka kuwa wewe hukufundishwa namna ya kutumbukiza.
 
Mzee hapo hakuna lugha wala darasa, ni sawa na kipofu kuweka chakula puani au kichwani! kumbuka kuwa wewe hukufundishwa namna ya kutumbukiza.

Mi nilifundishwa kwa kusoma vitabu na ku experience kutoka watuwazima, na kwa sasa kuna picha za ngono kwenye ma cafe hadi kwenye simu, watoto wajifunza.
 
Back
Top Bottom