Aliyekimbilia CCM Magadirisho (Arumeru Mashariki) hakuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kata

melimeli maganga pau

Senior Member
Jun 23, 2012
148
32
Aliyerudi CCM ni ndugu Nuru Maeda ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la Magadirisho kwa tiketi ya CHADEMA hakuwa mwenyekiti wa CHADEMA kata. Aliye kaimu uwenyekiti kata chadema ni Ndugu Paul Stanslaus.

Karibuni sana kwenye mkutano wetu siku ya tarehe 11-8-2012 siku ya Jumamosi kuanzia saa saba kamili maeneo ni kiwanja cha Sokono Magadirisho.
 
Walizoea kupotesha mkuu, nashukuru kwa taarifa....ccm wanairudia hiyo habari karibu kila siku humu jf
 
tulijua tu. nuru maeda hana tofauti na kuku anayeharisha!
majitu mengine inaudhi sana!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom