Baraza la wawakilishi zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la wawakilishi zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jembekali, Aug 5, 2012.

 1. j

  jembekali New Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jee munawasikia wawakilishi wetu wanavyokua wakali kuchangia juu ya mfumo wa muungano uliopo sasa? Duh! Ukiwakiliza utadhani leoleo muungano unabadilishwa mfumo wake lakini mbona hakuna dalili za mabadiliko? Tunahisi kama wanatupiga fix wao maisha yana sogea.au mnaonaje nyinyi wenzangu?
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mie sioni lolote!
   
 3. M

  Msajili Senior Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Njaa inawasumbua
   
Loading...