Hon Mwakyembe kama wewe unachimba dawa angani waache maskini tuchimbe chini tafadhalii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hon Mwakyembe kama wewe unachimba dawa angani waache maskini tuchimbe chini tafadhalii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 3, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana ana malengo mazuri aim yake si tu kutunyima kukojoa jamani bali
  ni kuhakikisha ardhi inakuwa salama
  sasa nahisi hili la kukojoa kwenye mabasi ya safari anatakiwa ajiandae upya kuhakikisha
  wanatuwekea vyoo kila baada ya mita kadhaa watu wakakojoe ama ukiona hivi
  kuna ama ndugu ama rafiki yake watu wamemchungulia live akaenda kupiga kelele
  labda incase kama uko kwenye basi usiogope kuchunguliwa hilo ni la kawaida swala wasiguse else kibofu kitaapasuka ila swali langu moja jaman na nahisi hiki kimefanya bw huyu mwakyembe awe na nguvu ya kusema hivi ovyo

  je mbona safari zote wana chimba tu awataki kushindilia ardhi nahisi umeelewa
  yaani mbona wanaenda haja ndog tu na kubwa awatoi ,,na nahisi ndio maana mwakyembe ameona kama wanwaweza kubana haja kubwa nini haja ndog bana

  ila jua kuna ndugu zako na falimia zako zitapanda mabasi watajisaidia kwenye boneti mh mwakyembe??
   
 2. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  ni uchafuzi wa mazingira, soln, mabasi yawe yanasimama kwny mahoteli watu wajisaidie.., mbna nchi za watu wanakua wastaarabu jamani,

  Pdidy, with all respect, nashauri usitetee huu utamaduni wa uchafuzi wa mazingira uliokosa ustaarabu
   
 3. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kama mahali hamna hotel for sure hukosi petrol station zenye vyoo, watu walipe hata mia mia
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  moshe unajua ukipita chalinze kama unaenda moshi hoteli nyingine unaikuta wapi??sasa hili ndilo tatizo na ndio maana nikaomba waweke vyoo hata kama vya kulipia wanakijiji wanufaike
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  preta weee.....na vikopo vyako vya castle light ukisafiri....mbona utasusu tumboni hakyamama.....
   
 6. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  serikali ilitakiwa kujenga vyoo kwa kila umbali fuklani kwa ajili ya wasafiri katika mikoa yote,ambapo wasafiri watalipia ata sh 100. harafu ndio wapige marufuku,bila hivo atakuwa amesema kujifuraisha mwenyewe na patakuwa apatoshi watu wasipochimba dawa,tuwe tayari kushuhudia ngumi zikipigwa njian
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwenye mabasi wawe wanagawa mifuko ya palstiki watu wawe wanakunya humo wakifika mwisho wa safari wanatupa ..
   
 8. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  wewe cjui unazungumzia barabara zipi, ushasafiri kwenda mtwara wewe? kuna petrol station ngapi, hoteli ziko ngapi njiani? fanya utafiti ndo umtetee huyu mwakyembe anaweza akawa na wazo zuri tatizo hakuna miundombinu huko barabarani watu wataendelea kujimba dawa tu porini. heri ulewe pombe kuliko madaraka.
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tatizo la Watawala wetu wa Kisiasa ni kutoa maagizo na miongozo bila maandalizi ya maagizo hayo. Mtawala wetu alitakiwa kwanza kuandaa mpango wa dharura kwa halmashauri za miji ambazo barabara kuu zinapita kujenga vyoo kwenye maeneo yao kwa ajili ya Abiria kujisaidia. Kwa mfano Wilaya ya Korogwe inafahamika inapoanzia na kuishia basi choo kinajengwa katika na kwa kutoza shilingi mia tu inakuwa ni mradi mzuri wa halimashauri husika. Mtawala wetu hakutakiwa kukurupuka na kutia marufuku watu kuchimba dawa vichakani. Anadhani watu tunapenda kufanya hivyo? Mara ya mwisho ni lini alisafiri kwa basi, sio VX lake, kutoka Dar hadi Mbeya? Watuache na 'Burudani' yetu ya kuchimba dawa na wao wakazane kwanza kujenga Vyoo!!!
   
 10. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwanza kinyesi ni mbolea ya samadi......ukinya porini au kukojoa ni kustawisha mazingira haswa miti ambayo ndio chanzo kikuu cha mvua.......always wanasiasa huwa wanakurupuka na kutafuta umaarufu, hili suala linawezekana kama litawekewa mikakati ya kujenga vyoo kwenye barabara kuu. Na kukurupuka huku ndiko siku zote kunalikwamisha jiji la DSM kuendelea kuwa chafu
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,189
  Trophy Points: 280
  Hon Mwakyembe kabla hujaweza ku deal na viongozi wenzako wanaochimba dawa nje pale leaders club (ambapo pana vyoo) huko misituni hutakuweza kamwe.

  Fanya kazi, acha longolongo.
   
 12. fakenology

  fakenology JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Hivi kwa nini asianze na yale mavi na mikojo ya kwenye treni hasa ya reli ya kati alaf ndio avamie mabasi.
  Ila kama mtu atakuwa ananifuatilia nlishawah kuongea humu jf kuwa watu wa mbeya wanahtilafu kimtindo kichwan
   
 13. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Alinifurahisha wazirimmoja alikuwa wa kwanza kulaani wauza uchi duniani kama tanzania na kutaja baadhi ya sehemu baada ya neno hilo kundi la watu wakaenda kwa waandishi wa habari na kusema mbona yule mteja wetu sana so haya ya mwakyembe sishangai maana naamini siku moja nitamkuta kwenye lindo na gari lake kabadilisha vile vibao vyake vya w mbn..kaweka sssr 345 akiomba mabasi yasthubutu kuangalia kushoto...so najua ni siasa tu mzee wetu kapitiwa
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hatuhitaji kuwa negative tu, tuwe positive pia, kujisaidia hajandogo+kubwa porini hasa ambako hakuna makazi ya watu ni kuongeza mzunguko wa nutrients ardhini ili mimea iweze kupata nutrients na ikue vizuri. It only need to be planned.
   
 15. F

  Firos Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni kweli atuache wenye baiskeli zetu za asili kwa bahati tukipanda gari tuchimbe dawa tunapojisikia kwani ni mojawapo ya starehe na anasa zetu.
   
 16. B

  Biro JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  ila mikojo mingine hasa ya bia za jana ukikojolea majani yanaungua badala ya kustawi teh teh.
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hii amri ya Mwakyembe itawatesa wakina mama anaodhani anawatetea kuliko wakina baba!! Mimi nimeona kwenye mabasi wanaume wanakojoa kwenye chupa za plastic halafu wananzitupa kitu ambacho umbile la wakina mama haliwaruhusu!! Sasa hao hao anaodhani anawasetili ndio watakaotabika sana na amri hii na ni wakina mama zaidi wanaochimba dawa safarini kwani wakina baba wanamaujajanja mengi ya kujisetili!! Fanyeni utaratibu wa kuwa na vyoo kwanza kabla ya kukimbilia kutoza faini au kufuta leseni za mabasi.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  utaweza kuchuchumaa unye ndani ya gari?
   
 19. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kweli wewe ni mwanamazingila kichwa sana! Wanaoamini kuwa kinyesi na mikojo vichakani ni kuchafua mazingira, akili yao haina akili. Kuna kichaka pale nje kidogo ya mji wa Makambako kinaipa heshima barabara ya Dar_Mbeya kwa kuwa green mwaka mzima hivyo kuupatia mji wa Makambako hewa safi mwaka mzima.
   
 20. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Me sidhani kama hoja yake ni mbaya ila nacho hofia ni utendaji wake wa kazi hiyo. Mfano mzuri Norway ukiwa high way uanaenda nje ya mji kwenda mji mwingine njiani kila baada ya umbali furani unakutana na public Toilet na unajisaidia je hapa TZ utaratibu huo upo na hata kama mwakyembe anataka kuianzisha hiyo project je itatekelezekaaaaaa?
   
Loading...