Je, Tunajifunza nini kutokana na picha hii ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Tunajifunza nini kutokana na picha hii ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Aug 5, 2012.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  [h=2]Monday, 11 April 2011[/h]
  [​IMG]
  [​IMG]

  Hatimaye,Laurent Gbagbo na mkewe Simone amekamatwa kama Saddam Hussein akiwa amejificha shimoni huku jasho likimchuruzika. Ameondoka kwa aibu, pingu mikononi huku akipewa taulo ajifute jasho. Aliloa kuanzia kichwani hadi unyao. Alionekana kuchanganyikiwa na kunywea akijifuta jasho hata kwenye makwapa bila aibu. Ile jeuri na mbwembewe na midenguo tuliyozoea toka kwake na mkewe aliyewahi kuwatukana viongozi wote maarufu duniani vilikuwa vimetoweka.
  Ni furaha iliyoje imla mwingine kuangukwa kwa kila aina ya aibu!Kwa habari zaidi,
  [h=3]CCM: Nyoka hata ajivue gamba anabakia kuwa nyoka[/h]
  [​IMG]
  Heri CCM wangeweka kichwa na mkia wa nyoka kwenye nembo badala ya jembe na nyundo
  [​IMG]
   
 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  [h=2]Tuesday, 12 April 2011[/h]

  [​IMG]
  [​IMG]Gagbo na Mkewe walikamatwa Kitandani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


  Gbagbo, mkewe Simone na mtoto wao Michael wakiwa hawaamini arobaini yao imetimu!


   
 3. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  Nionavyo mimi ni kwamba siku za Kikwete na wabunge wa Tanzania zinakaribia. Mungu saidia waliongia porini kujiandaa.
   
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ni upepo tu, unapita.
   
Loading...