Mwenye mawasiliano na vyombo vya habari huru.

Sir M.D.Andrew

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
201
37
Kuna tatizo limejitokeza katika shirika moja la serikali,ni ufisadi uliokubuhu,napenda kutumia jukwaa hili kuomba msaada kwa yule mwenye mawasiliano ya vyombo huru vya habari namba za simu,email n.k anisaidie ili uozo huu tuuibue,magazeti,radio tv,ila isiwe TBC
 
Mpatie kwanza mnyika aiangalie kisheria bila malipo, halafu ataenda kumwaga ***** bungeni,
Simu zake ni hizo 24/7
+255 754 694553/[COLOR=#49535A !important] +255 784 222222 [/COLOR]



Au kifaa kingine ni..Tundu Lissu ,
tlissu@parliament.go.tz


+255 22 2780859/+255 754 447323/[COLOR=#49535A !important] +255 786 572 571

Hawa ni wataalamu wa kuwapa za usoni tu
[/COLOR]
 
Back
Top Bottom