Rais Jakaya Kikwete kuongea na Waandishi wa habari leo ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Jakaya Kikwete kuongea na Waandishi wa habari leo !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Fixer, Aug 1, 2012.

 1. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,362
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wadau,

  Leo majira ya saa 9 Alasiri, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete leo atakuwa na mkutano na waandishi wa habari Ikulu- Magogoni !

  Tusubiri tuone atakuja na lipi !

  Nawakilisha !
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,346
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Tunataka amtumie "salamu" Joyce Banda wa Malawi. Aache kutishia walimu wetu!
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,337
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Leo mambo ya Mbayuwayu yanaweza kujirudia......Yangu masikio
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,733
  Likes Received: 5,100
  Trophy Points: 280
  Nitaelekea huko punde. Asije kuzungumzia mgomo wa walimu kwakuwa suala hilo liko Mahakamani.Leo ndio leo...
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,608
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwani Bagamoyo ameenda lini mara ya mwisho? maana suprising kama hivi lazima 'wataalamu' wake kutoka Msoga wamshauri kwanza, zamani kidogo ilikuwa rahisi maana 'mlinzi' wake maalum Shekh Yahaya Hussein alikuwa anamtonya kwanza,

  yote kwa yote tunaomba Source ya hizi taarifa.
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,966
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  I swear hatakua na jipya, anaepinga apinge tu lakini msimamo wangu ndio huo kuwa hatasema lolote jipya
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,006
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Nategemea atazungumzia masuala yafuatayo

  [1] Mgomo wa waalimu

  [2] Matatizo ya TANESCO

  [3] Mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi.

  [4] Ikulu kuhusishwa na mateso ya Dr Ulimboka

  [5] Sensa na kizungumkuti cha waIslam.
   
 8. m

  mamajack JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,163
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kituo gani au redio gani itarusha??will it be tbc or clouds??
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,492
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  huyu baba anapata shida kweli kuongoza daaah
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,104
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa nini siyo wazee wa dsm?
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,986
  Likes Received: 4,115
  Trophy Points: 280
  issue iko Mahakamani mkuu na hukumu ni kesho. CWT inasimamiwa na kamapuni ya uwakili ya Mnyele & Marando Advocates, sio jambo dogo labda ifanyike short cut lakini ikiwa hivyo itaigharimu serikali
   
 12. W

  Wajad JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Jipya linalotarajiwa ni atangaze kuwa nchi imemshinda, ajiuzulu yeye na serikali yake na kuitishwe uchaguzi mkuu disemba mwaka huu.
   
 13. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  leo halongi na wazee wa dar???
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,966
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa Mpwa hapo umeniacha hoi kabisa kabisa!!!
   
 15. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye bold, hivi hii nchi ina mtu mwenye cheo hiki jamani? Manake jinsi nchi inavyoenda utadhani kiongozi wake ni mpiga ramli anayepeleka mambo kimazingaombwezingaombwe! Na kwenye hiyo bold ya pili, nadhani "k" ya pili kwenye jina la Bw. Mkubwa ingeondolewa ili jina liakisi wasifu wa Amiri Jeshi wetu na Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama! Ama kweli, tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele tukiongozwa na kichwa cha Nazi! Kaaaaazi kweli kweli!
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ataongea nini la maana huyu!? ATANGAZE TU KUWA NCHI IMEMSHINDA TUANZE 1
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kufa kwa sheikh yahaya kuna mletea taaabu sana!!
   
 18. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,429
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kama akitoa nafasi ya maswali toka kwa waandishi, niulizie hili la uvamizi wa Malawi.
   
 19. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Afadhari aje mapema awkanye waalimu warudi likizo. maana wako semina za sensa wanalamba bingo afu wanadai wamegoma mbaya zaidi wanasababisha watoto wetu watangetange mitaani.GOOMEENI SENSA TUTAWAELEWA. maana utaigomeaje serikali kufundisha afu uitii serikali hiyohiyo kwenye sensa????????????????????????????
   
 20. Wile GAMBA

  Wile GAMBA JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hivi mtu unajisikiaje unaongea na watu uku unajua jamaa hawa kukubali kabisa!?...lazima ujichekeshe chekeshe ili kuua so
   
Loading...