Akili ndogo kuihesabu akili kubwa katika sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akili ndogo kuihesabu akili kubwa katika sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Parata, Aug 6, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nimeshangazwa sana wana jamvi kwa hali niliyoiona ya watu waliooomba sensa wenye degree asilimmia kubwa humu nchini kukosa nafasi na waliopata nafasi ni walio na cheti na stashahada jamani kweli akili ndogo itaihesabu akili kubwa na kweli tutahesabiwa ila ONE DAY YES
   
 2. d

  dguyana JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wenye degree watawalipa nini?
   
 3. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Pole mkuu. Wamekutosa!
   
 4. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  heri yangu mie wapo walimu wenye degree wametoswa na wenye grade A wameenda hii ni nini
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Huwezi kuua nzi kwa gobole.

  Ni hizi nchi zenye matatizo ya kazi hata ufagizi mtataka kugombea kwa degree.
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Sina mpango, na wala sitakuwa na mpango wa kuhesabiwa. Labda wanihesabu hapa hapa Jf.
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Good point mkuu.
  Lakini itafika mahali na ufagizi utakuwa na viwango. Mwenye degree afagie ofisini, asiyenayo afagie barabara na vyoo vya stand.
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Usipohesabiwa utakuwa umemkomoa nani?

  Kama unataka kufanya sabortage ya ukweli..... Kajilipue pale magogoni!!
  Thay will surely count.
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  I think it is okay...hatuhitaji degree kufanya hiyo kazi after all kazi za wenye degree ni nyingi kuliko za hawa wasio na degree let them explore the only opportunity the have after every 10 yrs +
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Kwani umeona nimesema sihesabiwi ili nimkomoe mtu?.
  Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
   
 11. Dhuks

  Dhuks JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Akili ndogo???????????? Kwani kuhesabu watu inahitaji usomi gani. Stop the arrogance.
   
 12. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kwani kuhesabu nako kunahitaji elimu gani? mi nadhan proffession inahitajika kwenye analysis
  ambapo statisticians ndo watafanya iyo kazi, but kuhesabu watu, jinsia, umri, kazi nk hii ni basiz
  application ya basic mathematics ambayo kila mmoja kasoma. pia mtu anaweza akawa ana degree
  ya sheria ama lugha na mwingine ana diploma katika hesabu, thatha katika sensa yupi reliable?
  mi nadhani kinachotakiwa ni qualifications na sio degree ama mastaz
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwani hao wasio na degree! hawana uwezo wa kuifanya hii kazi? tufike mahala tuisamini hii elimu, sasa kama mpaka mtu anakuwa na cheti au stashaada atashindwa kufanya kazi ya kuhesabu sensa jamani ati kisa wewe una degree! aah jamani, kazi ya sensa haiitaji izo qualifications za kiivo! kifupi kupata nafasi ya sensa ni bahati tangu hapo zamani, sema sasa hakuna bahati nikujuana tu! ila kwa kuhusu elimu ya sensa ni mtu yoyote mwenye elimu ya kuanzia for4 anaweza kuifanya hii kitu, mana inasemina yake yakufanya kwa huo muda, mtoto huyu wa form4 anaweza akawa na uwezo mkubwa kwa ku cupture ile semina na kufanya kazi kwa ufanisi mzuri na wewe mtu wa degree unaweza usifanye kwa ufanisi mkubwa! ishu atuangalii nani kapata au kukosa, ishu je? sensa imeenda kwa ufanisi wa hali ya juu! kama yes well and gud! kama hapana ndo tunatoa malalamiko! sasa ukisema akili ndogo kuihesabu akili kubwa ndo unakuwa unawapa jeuri hata wabunge na viongozi wengi wa nchi kutuzarau na kuto tujali, wakizidi kutafina mali za nchi kwa ubaguzi huu kuwa wao watu wadogo wa nchi sisi wakubwa! ni hayo! JOIN ME SEPTEMBER KWENYE NAFASI ZA JESHI,UKAONE AKILI NDOGO ZITAKAVYOKUWA ZIKITUKIMBIZA KIMBIZA! hahaha
   
 14. N

  Njangula Senior Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Be alerted: kukataa kuhesabiwa utafungwa jela miezi mitano!
   
 15. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hii degree yako unaipaisha kiasi kwamba wasiokua nazo unawaona choo.inaonekana hii elimu yko umeungaunga sana mpaka kuipata.by the way hii kaz ya sensa imetangazwa km kaz zingine.ina vgezo na mashart.kwan we ulitaka degree zote zchukuliwe?pia kukosa au kupata ndio moja ya miiko ya kaz.km ni suala la kuhesabu mi nadhan tena hata hapakua na haja sana ya kujumuisha degrees ila tu kwa kua mmekua majobless sana gov't ikaamua tu kuwapa pesa ya sikukuu ijayo.so usicomplain sana mkuu km umekosa..siamini km kaz zote unazoomba unapata.
   
 16. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wanaogopa wakiwadhulumu 'graduates' KUNJI ni la kufa mtu!
   
Loading...