Kamanda Kova tunaomba Filamu Part II ya Dr Ulimboka.

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Serikali yetu ni sikivu sana na ninayoimani kuwa baada ya kughafilika katika kucheza filamu Part I ambayo sterling Mkenya ndiye aliyemshambulia Dr Ulimboka ni muda muafaka tena kwa kamanda Suleimani Kova kutupa picha part II ya tukio lile.

Watanzania hawajasau yaliyompata Ulimboka licha ya kuwepo na mambo mengi kama migomo ya waalimu, mafao ya wafanyakazi, ushindi wa Yanga Kagame, Rushwa ya Wabunge, mgogoro wa Malawi na mengine mengi bado ni vyema kwa Serikali Makini ya Chama tawala ikatwambia imeshawakamata wangapi hadi sasa na lini watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.

HATUJASAHAU JAMANI EEEEEE!!!!!!!
 
nasema tumesahau na hii topic ilishafungwa ndo maana TULIWAFUNGIA MWANAHALISI!
 
kafanye kazi upelekee wanao mkate acha umbea,mjini apa,utaolewa!!!!!!!ohoooo
 
Hakuna part 2 bana Watanzania tumeshaistukia hata part 1 sasa hawajui la kufanya. Kudra za Mungu za kuendelea kumuweka hai Dr Ulimboka zimeharibu sinema yao yote sasa hata kuongea hadharani wanaona noma maana ndio wanazidi kujichora na kuonekana kituko machoni mwa Watanzania walio wengi.

Serikali yetu ni sikivu sana na ninayoimani kuwa baada ya kughafilika katika kucheza filamu Part I ambayo sterling Mkenya ndiye aliyemshambulia Dr Ulimboka ni muda muafaka tena kwa kamanda Suleimani Kova kutupa picha part II ya tukio lile.

Watanzania hawajasau yaliyompata Ulimboka licha ya kuwepo na mambo mengi kama migomo ya waalimu, mafao ya wafanyakazi, ushindi wa Yanga Kagame, Rushwa ya Wabunge, mgogoro wa Malawi na mengine mengi bado ni vyema kwa Serikali Makini ya Chama tawala ikatwambia imeshawakamata wangapi hadi sasa na lini watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.

HATUJASAHAU JAMANI EEEEEE!!!!!!!
 
Hembu msijadili hii kitu iko mahakamani, na tumeunda tume iko eneo la tukio MSITU WAPANDE wanafanya upelelezi. mpaka sasa tumemkamata mtuhumiwa namba moja raia wakenya
 
Afande kova kakaa kimya namna unamchokoza..... Siku mabomu ya machozi yakirushwa na kutupwa hapa JF wengi tutakosa maji na vitambaa vya kufunika pua na macho..... mabomu ya machozi yakitupwa kwa kompyuta hayana namna ya kujificha. chezea kova weyeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii ni dhoruba haitapita hivi hivi,hatujasahau hii issue ya dr.ulimboka,na hamu kova aendelee kutujuza kwenye hii sinema
 
Gwajima ndio aliharibu, ali act too quickly akasabisha Co starring Mwema ashindwe kuendeleza mapambano
 
Mwanahalisi lisingefungiwa, wangekuja na part II haraka sana. Baada ya mwanahalisi kufungiwa hakuna tena mtu wa kuwaumiza vichwa kufikiri namana ya kutengeneza filamu.
 
Afande kova kakaa kimya namna unamchokoza..... Siku mabomu ya machozi yakirushwa na kutupwa hapa JF wengi tutakosa maji na vitambaa vya kufunika pua na macho..... mabomu ya machozi yakitupwa kwa kompyuta hayana namna ya kujificha. chezea kova weyeeeeeeeeeeeeeee

Ngoja tumuone huyo Kova atakavyopambana na 'Kova' wa Malawi, maana Kova wetu huyu kazoea kuonea raia wasio na hatia wanaodai haki zao kwa amani.
Kamanda Kova, hebu sogea-sogea kule mbamba bay uone kulikoni huko, maana jamaa washaanza kuchimba mafuta kule !!!
 
SAM_4355.JPG
Filamu ya Ulimboka Part II hii hapa, sasa wafanyakazi 30 wa kampuni ya Mawasiliano Tigo wanahojiwa ili kujua nani alivujisha mawasiliano kwa Gazeti la MwanaHalisi.
 
Serikali yetu ni sikivu sana na ninayoimani kuwa baada ya kughafilika katika kucheza filamu Part I ambayo sterling Mkenya ndiye aliyemshambulia Dr Ulimboka ni muda muafaka tena kwa kamanda Suleimani Kova kutupa picha part II ya tukio lile.

Watanzania hawajasau yaliyompata Ulimboka licha ya kuwepo na mambo mengi kama migomo ya waalimu, mafao ya wafanyakazi, ushindi wa Yanga Kagame, Rushwa ya Wabunge, mgogoro wa Malawi na mengine mengi bado ni vyema kwa Serikali Makini ya Chama tawala ikatwambia imeshawakamata wangapi hadi sasa na lini watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.

HATUJASAHAU JAMANI EEEEEE!!!!!!!

hii kurudi rudi nyuma ndio inaturudisha nyuma pia.
 
Back
Top Bottom