Na CEO wenu ni kama huyu wetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na CEO wenu ni kama huyu wetu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Aug 6, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jamani hapa ofisini kwetu, yaani kwenye institution yetu CEO amejaza watu wa kabila lake, jamaa zake, watoto wa marafiki zake, wapenzi wake, na wanawe bila kuangalia sana uwezo wao, na ni 'ngono-centric CEO i.e. womanizer' wa nguvu . Shuleni nilifundishwa kuwa mashirika ya umma yalikufa kutokana na 'undunguization' i.e. favouratism and nepotism'.

  Je, dawa ya kusitisha tabia hii ya ma-CEO wengi wa Bongo ni ipi? Je, hii sio namna ya 'corruption'?
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Peleka taarifa TAKUKURU atashughulikiwa fasta......................LOL
   
 3. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hebu taja hiyo ofisi yenu na pia mtaje kwanza huyo CEO hapa ndio JF atapatiwa dawa tu.Usilete mambo ya vitendawili.
  Inawezekana kukawa na mtu anaye-sit kwenye Board of Directors ya hiyo ofisi yenu itakuwa rahisi kumpa kubwa kwenye vile vikao vya kiutu uzima..
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hao TAKOKURU ndo hovyo,hawana maana yoyote!!
   
 5. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mkuu usije kuta ofisi yenyewe ndio hiyo TAKUKURU!!!!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hata kwetu yupo hapa kajaza ndugu zake halafu anawalipa hela ya kufa mtu..
   
 7. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  jamani hiyo kampuni iko wapi? Na Mimi nimuonge Huyo CEO kamshahara kangu ka ualimu anipe ajira hata ya umessenger. Nimechoka na chalk na kuzalilishwa
   
 8. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Taja ofisi, matokeo utayaona.
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Acha kunifuatilia fuatilia, mimi sina upendeleo wewe umeajiriwa hapa je wewe ni ndugu yangu?
   
 10. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kabla ya kummulika ceo tuanze na wewe, je wewe umepataje ajira kama sio ndugu yake au umengonoka naye!
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  hahahah hapa kwetu ni wahaya hata ambao shule hamna eti ndo wahasibu tunawachakachua kwakweli wao wanajiona wajanjaaaa
   
 12. gwagu

  gwagu Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo atakuwa anatkea upareni
   
 13. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu nipatie jina la huyo ceo sasaiv niingie kazini!
   
 14. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  endelea kuchakachua tu,msoffe mwenzako yuko magomeni pale.
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  aaah lol kuiba lazima hebu fikiria mpaka leo sijaona mshahara nikale api?
   
Loading...