Mjusi anaitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjusi anaitajika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Parata, Aug 6, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,107
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mjusi wa tanzania aliyeko berlin anahitajika mbunge amedai
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Hahahahaaa!!!
  Mjusi kitu gani bana.... Twiga wetu kwanza... Watupe twiga wetu, sisi tutawapa mijusi zaidi kama wanataka.
   
 3. G

  Ginner JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,116
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  hahahahaha mdau nimeipenda hii........kwa lugha yenye uzito ungesema mifupa ya dinosaurs .......
   
 4. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,415
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nilifikiri "mjusi shemboza" the musician (soloist!)
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Nikajua unatafuta mjusi utafute sumu ya kumuua mkeo/mmeo!
   
 6. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,002
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Nashangaa wanadai mifupa badala ya Twiga wetu. Inaeleweka wazi kwamba wanyama wale walichukuliwa kiharamu, kwa nini serikali haifanyi juhudi ya kuwarudisha? Kuna nini nyuma ya pazia? Tumeweza kurudisha fuvu la Mkwawa, tukarudisha kinyago cha Kmakonde, kwanza wanyama warudi, halafu ifuatie hiyo mifupa ya mijusi. Na hao waliofanya biashara wafungwe sio kufukuzana kazi tu.
   
 7. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,002
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Avatar yako inaonyesha hali halisi kwamba bado uko usingizini,amka mzee!!
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,074
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  Wakati ndiyo yenyewe ilisimamia show...unataka ijivue nguo?
   
Loading...