Kina ajali mbaya imetokea maeneo ya Kibaya, KITETO

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
mpaka sasa kuna mtu mmoja amefariki na anaonekana ni raia wa nje (mzungu mwanamke) na majeruhi zaidi ya tisa
 
Inasikitisha sana. Waweza toa taarifa zaidi ili watumiao njia hiyo wachukue tahadhari pia.
 
Back
Top Bottom