Walimu wa shule za msingi ndio kiboko ya serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wa shule za msingi ndio kiboko ya serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kauzu, Aug 6, 2012.

 1. kauzu

  kauzu Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Walimu wa shule za msingi wameonekana ni waoga sana katika kutetea haki zao,lakini makucha yao yameonekana kwa 30% ya wanafunzi waliojiunga sekondari hawawezi kusoma na kuandika.Serikali iwe makini kwani baada ya ongezeko la ujinga litaendelea kwa kasi kubwa
   
Loading...