Abiria wa atcl wakamwa kwenda comoro;marubani wagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiria wa atcl wakamwa kwenda comoro;marubani wagoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 6, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Jamani kwa mlio karibu na airport embu tusaidien hili
  kuna habari ndege ya atcl imeshindwa kuruka kwenda moroni
  na abiria wamekaa juu wanalalamika .....
  Habari zaidi zinasema srce:baada ya kuvunjwa mkataba na kampuni ya aerovista
  nao marubani wao wameambiwa kutorusha ndege mpaka wataakapoambiwa kutoka
  dubai ilipo kampuni

  kwa wenye habari embu tupeni zaidi wapi hiikampuni yetu inaelekea jamani
   
 2. m

  manduchu Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Abiria wengine bana, yaani wanajifanya ni wageni kabisa na maambo ya atcl '
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ATCL ni kama kama kumpa mng'ati dhamana wakati yeye ni mtu wa kuhama hama!!!!!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ngoja nimu PM Dr Mwakyembe anipe ufafanuzi maana alikabidhi kampuni kwa dereva wa ndege kwa mbwembwe na kumtema CEO mzoefu ati hawezi kazi, nitarudi na ufafanuzi baadae.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mwakyembe haiwezi hii wilaya ataishia kugombana na wanaokunya njiani
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,131
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Hivi atcl ina ndege za abiria kweli?
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  jamaa kaja siku ya kwanza na kula Ban kudadadekii,
   
 8. Chriskisamo

  Chriskisamo Senior Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiistajabu ya atcl utayaona ya firauni
   
 9. m

  markj JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  sasa jamani! atcl ikiwa inafanya vizuri, je? hawa wanasiasa waliokuwa na mkono kwenye kampuni pinzani ya atcl watapata wapi shea yao? HILI NDO TATIZO LA SIASA NA BIASHARA KUCHANGANYWA wala hamna kingine hapa!
   
Loading...