Hospitali Kwa Kairuki Ni Wauwaji, Dk Makuka Utawamaliza Watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali Kwa Kairuki Ni Wauwaji, Dk Makuka Utawamaliza Watu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jul 29, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kila jambo watu wanamsingizia mungu
  lakini vifo vingine kuna mapepo anawatumia hawa ma dk wetu na wauguzi na
  hivyo mwishowe kutufanya wote tuamini mapenzi ya mungu .....huzuni kbwa ni pale
  mhusika wa tukio unapokutwa na jambo ujajitayarisha..faraja tele ni wale waliosimama
  na mungu muda wote wa maisha yao

  ndugu zangu waapendwa nimewiwa kuwajulisha kuwa makini na hospital hii ambayo imekuwa
  sasa ni zaidi ya sehemu ya mauwaji ya kimbari kule rwanda....sijui tatizo ni ujuzi ama nini
  last months tulimpoteza shangazi wetu kwa uzembe na ujinga wa mpuuzi mmoja aitwa dk makuka
  huyu dk alikuwa akimtibia na baada ya kufika akaambiwa ana kisukari kutokana na kuanza kuhangaika
  kwenda kuleta vitu kama mgonjwa jioni akawa amewa direct wapuuzi wenzake manesi wamwekee
  dripu ya qwinini....sasa mtu mwenye kisukari hata kama una akili gani uwezi kumwekea qwinini wakati anajua inashusha mapigo ya moyo asbh tulipofika tukaanza kulalamika akaanza kuhangaika na wapuuzi wenzake kumbadilishia dawa ...sisemi kwa ubaya ila ni ndio watalaam wetu hao tulionao
  mchana mapigo yakawa chini kabisa....huyu dk akaitwa alivyokuwa mshenzi na hana adabu akadai yuko busy sehhemu akawaambia manesi wamwekee dripu nyingine .......

  Nasema ni mshenzi maana atuitaji kuwa na washenzi kama hawa na hata namba yake nio vyema ukawa nayo incase unampeleka mgonjwa wako ukipiga ukaona anapokea yeye hama nenda hata dispensary zetu za kihuni pale sinza...wakati anatafutwa alikuwa hata kupokea simu apokei alivyokuwa mshenzi amesikia mgonjwa amefariki 15 mins yuko hospitalini anaanza kuulizia nini zaidi kimetokea
  atutakiwi kukumbuka ya nyuma tunatakiwa kujali sie tuliopo na ndio maana nikaona si vyema kwenda kumhatarisha mgonjwa wako kwenye hospital ile ..namba yake ni 0713 783048

  majuzi tena niikiwa kazini akazidiwa bibi yetu ...nae aliumwa kamalaria cha gafula ...bahati akiwa yuko hospital akanipigia mtu mmoja kwamba tuko hapa mikocheni b hospital naona wanataaka kumwekea dripu biibi nikaomba waachungulie wakakuta ni qwinini teeenaaaa......nikawaomba waniulizie bei tax nikawamia mleten hapa hindumandal hivyo hivyo....namshukuru mungu tumeshindwa kupoteza mwingine shemu ile ile....nahisi kuna wakati hawa watu wanatumiwa na mapepo ya uuwaji kuwamaliza watu ingawa wao wanaona wanawatibu...wapo waliosema yule baba aliozikwa pale mbele amezikwa na wanyama kadhaa wakiwa hai kwa hiyo watu watarajie roho nyingi tu kuondoka

  sitaki kuamini ila sikupenda kitendo cha kumzika mbele ya hospital yake na hiyo hiyo wakati mwingine unakuta watoto wanachezea pale unaweza hisi kunduch beach hotel kumbe wako kwenye kaburi la mtu....

  Ndugu zanguni tuwe makini tusimsingizie shetani ...huyu dk sikupenda kitendo chake baada ya kusikia mhusika amefariki nahisi akakodisha hammer kumuwahisha ....sidhani kama wahindi ama watanzaania tukiishi hivi nani atasalimika tunapoelekea wakati huuu dk wetu ulimboka akiwa kwenye matibabu
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hee! Huku nako kuna machinja chinja! Siwezi kumjaji lakini kwani sina uhakika kama ulichoandika ndo ukweli.
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona habari hii inatisha sana?
  Binafsi sipendi kugeneralize mambo kwa style hii. Mimi naona kama tatizo ni Dr. Makuka, basi achukuliwe kama yeye na mapungufu yake binafsi. Siamini hakuna chochote cha maana kinachofanywa na hospitali hii. Ninachoamini kuna faida kubwa ya kuwepo huduma ktk hosp. hii kuliko kama isingekuwepo.

  Nikiri kwamba sikuweza kusoma story nzima uliyoandika kwa urefu, ila heading tu inatosha kutoa comments. Kiukweli sijapendezwa kwa jinsi ulivyotutisha hapa. Hii ni kwa sababu mimi nimekuwa nikitibiwa pamoja na familia yangu mara kadhaa pale hosp. na kila mara nimekuwa nikikuta wagonjwa wengi tu; hii ina maana kuwa bado kuna watu wengi wanaoridhika na huduma ya pale.

  Ninaposema hivi sina maana kwamba kila kitu kiko sawa pale, la hasha, mapungufu yapo ya hapa na pale, kama ambavyo hata ukienda hosp. zingine utayakuta.
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  take Legal actions kama kuna supporting evidences . . .
   
 5. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,902
  Trophy Points: 280
  Kaka ninakuunga mkono asilimia mia, hiyo sio hospitali aisee ni chinjio.

  Wameniulia wife pale kwa uzembe wa kijinga sana, eti wakati wa opersheni ya uzazi wakakosea wakachana kibofu na kushindwa kurepea, na kuishia kuniambia samahani! Sitaki hata kukumbuka.

  Tena huyo aliefanya ujinga huo ndio Gyna wao na mmiliki, DR Clementina!
   
 6. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,171
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Pole sana! itakuwa ni ajabu sana daktari kuwa muuaji badala ya mponyaji. Ndugu kabla huja post thread yako hapa jaribu kuuliza wenye taaluma yao wakuambie kama Quinine ni contraindicated kwa mgonjwa wa kisukari! Habari yako kama kachuki flan na huyo dr uliyemtaja! pata ushauri kwa madaktari wengine upate maarifa, hicho unachodhani unakijua sicho. Pole sana ndugu!
   
 7. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mkuu Superman, ulijificha wapi? kwa muda mrefu mchango wako hapa JF tumeu "miss"!
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu wwangu nipo kwa sasa. Nilikuwa sayari za mbali ndo kwanza nimetia timu. naona Bongo inazidi kuchafuka Kitaaluma na Kisiasa . . . . sijui tumebakiwa na nini sasa.
   
 9. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu pole sana kwa kumpoteza mpendwa wenu. Ila uhai na kifo viko beyond man capabilities,
  Ila ufanye utafiti mdogo wa Quinine na ugonjwa wa kisukari, jamii isijepotoka. Maana hua inatumika kushusha kiwango cha sukari kwenye damu, sijui kwa upande wa mapigo ya moyo.
   
 10. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii story imeandikwa kwa chuki zaidi, afu huyu relative anaonekana ni miongoni mwa relatives ambao ni much know kumbe anachozungumza hata yeye hajui.
  Mimi ni Dr professionally naomba ndugu BASIAS aniambie wapi imeandikwa kuwa mtu mwenye kisukari hatakiwi kupewa drip ya quinine, yawezekana hii ni shule mpya. Jamani tugoogle ili tuweke hapa evidence na siyo kupiga kelele tu vitu ambavyo hujui,
  kwa hiyo kwa maelezo yake ananambia mwenye kisukari akiwa na severe malaria tumuache tu afe coz National guide line inazo dawa tatu tu kwaajili ya rx ya malaria, for Uncomplicated malaria tunatumia ALU, SEVERE tunatumia QUININE, wakati ARTEMETHER INJECTION is reserved when quinine fails. Sasa naomba atoe huyu bibi yake alitaka apewe dawa gani kwa treatment(rx) ya malaria?
  Tuache chuki binafsi afu tunapokuwa hospital tuache umachi know coz huu huwa unasasabisha wagonjwa kufa, mimi mtu kama wewe nakuita na kukusainisha kwenye faili la ndugu yako ili uondoke naye umpeleke kule unakofikiri watavumilia kelele zako. Ninacho jua kwa mtu diabetic quinine huchanganywa kwenye normal saline rather than dextrose ambayo hutumika kwa non diabetic.
  Let be great thinkers rather than giving out smoke like this. Am disappointed with you.
   
 11. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Masuala ya afya kwanchi yetu hii ni janga kubwa sana..kama huna hela ya kupata mabingwawazuri unakufa unajiangalia..na serikali hii dhofli yenyewe iko busy kuwatisha na kuwa sumbua sasa wanachanganyikiwa kabisa...
   
 12. D

  Drake Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Dr.,
  ume onyesha sehemu ya ujuzi wako,sasa tueleze kulikuwa na ulazima gani wakutumia quinine kam second option badala ya artimether ambayo usumbufu wake kwa watu wengi nimdogo kuliko quinine, lakini pia je hamfanyi general survey ya discomforts quinine ina sababisha kwa watumiaji? ukilinganisha na dawa zingine?.
  mwisho kabla huja tetea mikocheni hospitali n aomba uangalie tena na tena huduma zao
  asante
   
 13. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mmmhhh!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  Mupirocin nakuunga mikono na miguu juu ya treatment ya malaria kwa diabetic patients.Ila kunatatizo ambalo lipo kwenye hosp nyingi sana ambalo binafsi nilishawah kuona ingawa end result ilikuwa ni mauti kwa muhusika. Huyu alikuwa ni baba mdogo alipewa quinine ambayo mimi nilijua haina effect kwa mgonjwa kumbe bana walitumia dextrose badala ya normal saline yani nilichokuja kuhamaki ni mgonjwa kuanza kukoroma na ikawa ndio mwisho wake hapo.

  ndipo nilipo jifunza kwamba mara nyingi sana huwa hata manesi ambao ni wasaidizi wenu huwa wamekariri baadhi ya matibabu pasi kusoma dr kaandika nini manake niliomba file la mgonjwa nisome nikakuta dr ka perescribe normal saline sijui nesi wa usiku kuona quinine akajua inaenda na dextrose akamtundikia na mwishowe mgonjwa sukari ilipanda sana . so yawezekana kwa kesi ya huyu jamaa wala kosa lisiwe la dr likawa ni la nesi ila ndo maumivu ya kufiwa yanampelekea kuona dr ndio concerned.

  pia kwasisi wauguzaji pana kitu ambacho ambacho nafikiri wengi huwa hatuna nacho ni kupenda kuuliza maswali badala yake sisi huwa tunajifanya ma street Drs. kitu ambacho ni kibaya sana. Japo kuwa muda mwingine ma dr wasiokuwa na hekima ukiwauliza wanakupa msimamo wao ambao mwisho wa siku ukimuuliza mingine anakwabia hapa huyu kakosea.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. A

  Acanthosis New Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani kambau na basias wote wameguswa km mtu yoyote kufiwa na mtu wa karibu,poleni sana.Ila wote wamepost taarifa zisizo kamilifu kuweza kusema moja kwa moja kilichopelekea vifo vya wapendwa wao ni uzembe wa madaktari na manesi.
  kupasua kibofu cha mojo wakati wa Caesarian section is an acceptable complication especially in emergence situation lakini kupasua bladder haisababishi kifo cha haraka,then wat happened?
   
 16. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  siku hizi kila mtu anaweza kuwa daktari! This is strange! Hata kama unaweza kugoogle siyo kila kitu kimeandikwa mule. Ndo maana hata developed countries mpaka leo wanalalamika shortage ya madaktari. Kama ingekuwa hivyo wangeacha kutrain, kila kitu si kiko mtandaoni? Kusoma kwenye mtandao kusikufanye uasume unajua kila kitu cha sekta husika. Hata waliokaa medical school wanasoma kila siku ili kujua zaiidi. It is irritating when a patient anakuja na kukuambia dr nafikiri naumwa typhoid, niandikie dawa!! Khaaa! Sasa si ukanunue duka la dawa? Na mijitu mingine linakuja na ndugu yake anaongea kabisa aafu unataka utoe maelezo wewe, kwani ndo uliyemukea ugonjwa? Kama una taarifa zinazokosekana si ntakuita? Kuna mambo mgonjwa hawezi kuongea we ukiwepo bhana. Tuweni wastaarabu ndo maana tunalalamika kwamba daktari katujibu hovyo.
   
 17. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Peleka hili swala Mahakamani, ili lisijadiliwe tena.
   
 18. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wataendelea kuwaua wanyonge bila kushughulikiwa kutokana na ukweli kuwa wakubwa wanatibiwa nje. Hivyo kilio kama hiki kwao ni upuuzi.
   
 19. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  There u are, manesi wengi hawako makini na maelekezo ya Dr.
  Wamejawa na viburi na ukaidi, sometimes hata kauli yao si nzuri kwa wagonjwa.
  Hapo ndipo kwenye tatizo kubwa kabisa.
  Wengi wetu ni wahanga wa tabia hizi za manesi, INAKERA SANA.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,902
  Trophy Points: 280
  Mimi sio daktari ila nahindwa kukubali kama kumpasua mtu kibofu ni acceptable alafu ushindwe ku repair hadi afe. Na hakufa haraka ni kweli unavyosema alikufa baada ya wiki 3, labda ni acceptable kufa pole pole in 3 weeks
   
Loading...