Nani wamiliki wa Kampuni ya Zinunula Corporation Ltd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wamiliki wa Kampuni ya Zinunula Corporation Ltd?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rich Dad, Aug 6, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wana JF naombeni kufahamishwa wamiliki wa hii kampuni. Nasikia walishinda kesi dhidi ya TRA baada ya maamuzi ya mahakama kuhusiana na madai ya udanganyifu kwenye VAT. Baada ya court ruling TRA wakaamua kukata rufaa iliyo wagharimu kiasi cha TZS billion moja.
  Je huu si mchongo ili hata hiyo billion moja wajanja wachache waichukue kwa kisingizio cha kupoteza rufaa kwa mara ya pili?
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa serikali ya ccm hao
   
Loading...