Mwanamama asema kakacha ualimu Bongo haulipi!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,338
6,463
Brit1.jpg Brit2.jpg

Source: The Guardian on Sunday July 29 2012
 
Yeah_kazi nyingi bongo hazilipi,..na hasa zile zinazotaka upeleke makato nssf,ppf,lapf ..etc..etc,...kazi zinazolipa ni ubunge,uwaziri,urais,.......pamoja na udugu na marais
 
hakuna kaz ya wito inayolipa...alikosea njia,arudi ajipange upya sasa
 
Back
Top Bottom