Binadamu tofauti na wanyama wengine ana uwezo wa kutambua mema na mabaya. Mema yanaweza kuwa ni mambo mazuri yanayokubalika katika jamii au dini . Kwa mfano kusaidia maskini na heshima kwa wenye...
Toka umetangaza mgao wa umeme kutokana na kuharibika jenereta,tunashindwa kuelewa mgao wako kama kweli jenereta limeharibika au ni mwendelezo wa ufisadi kwani mgao wenyewe unaonekana unaendeshwa...
Bado najiuliza kwa mtu aliyezaliwa Tanzania na kukuwa kwa kutegemea kilimo cha mkono, uvuvi au mama lishe au kuuza ktk magenge ya mboga au nyanya je anaweza akapata kazi;
Ikulu, bandarini, ofisi...
Mabomu yanarindima polisi wamepagawa...ni vita kati ya polisi na raia wenye hasira. Nasikia kuna ajali ilitokea,kuitwa polisi wakaleta majibu ya dharau,raia wakachoma pikipiki ya...
is there such a thing as natural talent? Au juhudi za watu tu zinawafanya waonekane wanavipaji.. Eti shule za vipaji maalumu, ni kweli hawa wana vipaji ambavyo ni maalumu au wametia bidii kwenye...
Dodoma THE government has directed the Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) to visit Uganda and Zambia and sort out problems of power cuts, affecting parts of the country...
Tabia ya Madereva Daladala kusoma magazeti wakiwa wanaendesha magari ya abiria imekisiri kiasi cha kutishia usalama wetu watumiaji wa Daladala,naomba vyombo usika vichukue atua hii tabia pamoja na...
Zimebaki siku chache sana kabla ya zoezi la sensa kuanzia usiku wa tarehe 25-26,August 2012. Kwa utafiti mdogo niliufanya Dar es salaam wiki iliyopita...elimu ya uraia ilikuwa...
kama ulikuwa hujui ndo nakufahamisha..lile shirika lililoanzishwa kwa mkopo wa wachina TAZARA,lipo hoehae.niandikapo ujumbe huu ni kwamba treni zaidi ya tatu zipo steshen mbalimbali(zimekwama) kwa...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anategemea kuzindua zoezi la sensa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Sherehe za uzinduzi huu zinaendelea na zinaoneshwa moja kwa moja kupitia TBC1
Kila dalili zinaonyesha umaarufu wa CCM unazidi kutokomea. Pamoja na mipesa wanayomwaga kununua Tshirt, kufia na Kanga, wananchi tunazidi kuwakimbia. Walitumia jeshi la Police kuwatisha wananchi...
Meli tatu za kivita za Jeshi la Wanamaji kutoka Japani zimewasili nchini na kutia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam.
Kuwasili kwa meli hizo kuliambatana na kupigwa mizinga ya baridi 21 huku...
Mama na watoto wawili wameteketea kwa moto, ulio sababishwa na kuungua kwa nyumba walio kuwa wanaishi. ajali hiyo imetokea maeneo ya ilemi mbeya, chanzo cha moto inasemekana ni shoti ya umeme...
Amma kwa hakika huu ni mwezi mtukufu, Spika wa bunge la Tanzania amekiri kuwa Ramadhan imechangia kuleta ushirikiano na kuzidisha amani na utulivu bungeni.
Ni uhakika kuwa Ramadhan imetowa darsa...
SPEECHES
Deregistration of 36 Iranian Ships
Statement from U.S. Ambassador Alfonso E. Lenhardt | August 16, 2012
Alfonso E. Lenhardt, U.S. Ambassador to Tanzania
On August 15, the United...
Nimepita maeneo ya Makao mapya mjini hapa Arusha, nimejionea barabara za ndani ya mji zinazojengwa kwa kiwango cha lami na wakandarasi wa kichina.
Lami inayowekwa haina kina hata 3cm wakishaweka...
Nimesikia matangazo ya kuhasisha sensa katika vyombo vya habari yakisema, makarani wa sensa watakuwa wamevaa nguo maalumu wakati wa zoezi la sensa. Zimebaki takribani siku kumi kuelekea siku ya...
Akiongea na TBC jini ya leo Mh Shibuda(Rais wa Maswa) ameiita bajeti ya serikali kama mbegu dawa.akifafanua zaidi amesema bajeti kwa kila wizara hupitishwa ili kufanya maendeleo na kujijenga...
Mon, Aug 13th, 2012
Tanzania|
An American tycoon, Mr Paul Tudor Jones, has agreed to spend millions to finance the construction of an international airport in Serengeti district, Mara Region...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.