Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo hicho kozi ya flight operating officer je chuo kimesajiliwa na kama bado ni chuo gani kingine kinatoa kozi kama hiyo Tanzania
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ile ndio kazi ya polisi kwa raia wanaodharau amri ya polisi kama wale watu wa migodini waliopigwa shaba na polisi wa afrika kusini. na ile ndio kazi ya polisi .maana CHADEMA wanadharau sana jeshi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipata hivi punde kuna ajali ya basi la kampuni ya shabaha limepata ajali wilayani same mkoani kilimanjaro na inasadikiwa watu 29 wamejeruhiwa
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakati Tanzania ikiwa tayari kutaka kuingia vitani dhidi ya Malawi, Ile rada kuu inayotegemewa kwa mambo ya anga, mawasiliano, kijeshi na kutua kwa ndege iliyopoko Dar kwenye uwanja wa zamani wa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Saturday, 18 August 2012 09:13 Geofrey Tengeneza- Seoul Korea Kusini. Waziri wa Viwanda na Biashara,Dk Abdallah Kigoda ametoa rai kwa wafanya biashara na wawekezaji nchini Korea kuja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina kijana alipigania sana nafasi ya ukarani wa uandikishaji wa sensa tangu mchakato wa mwanzo, na alinificha kumbe alitoa rushwa ya sh 60,000 baadaye sh 54,000... Jana anakuja analalamika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza naanza kwa masikitiko kwani hadi sasa hajujapata kwa uhakika majina ya watu wenye fedha Uswisi. Hii inanikumbusha ushuja na ushupavu wa gazeti letu pendwa Mwanahalisi kabla halijahujumiwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Miongoni mwa watu ambao wamesikitishwa na kuathirika na uamuzi wa kimabavu wa serikali wa kulifungia gazeti la mwanahalisi mimi ni mmoja wao.Mimi ni msomaji na mpenzi wa gazeti hili ambalo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hospitali ya AICC Arusha ni moja ya hospitali za Private za hadhi ya juu kabisa mjini Arusha na hakika mazingira yake ndani na nje ni sehemu ya tiba. Pamoja na sifa hizo, nawaomba AICC wekeni TV...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
espionage au? MICHUZI: Jihadhari:email ya balozi begum karim taj imeibwa
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Natumaini wana jf.Kuna e-mail zinatumwa kutoka kwa watu wanaojiita wakimbizi kutoka Nigeria na Ghana wapo Senegal kambini.Wanasema wazazi wao wamekufa kwenye Vita.Wanadai wanahitaji foreiners ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mtu amefariki kwa ajali ya daladala mjini tanga ila cjapata habari zaidi nikizipata fresh nitawajuza,,,,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakazi wa kijiji cha Mloda kata ya Maka'gwa wilaya Chamwino wamezuia ujenzi wadaraja katika barabara kuu ya Iringa - Dodoma ili kushunukuza wakala wa barabara (Tanroads) mkoa wa Dodoma kuwalipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa TAKUKURU ,edward hosea yuko live kwenye kipindi cha dk 45 ITV.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ijumaa, Agosti 17, 2012 07:24 Na Abraham Gwandu, Arusha JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia Faraji Majid (35) mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kujaribu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Makarani wa sensa mbozi wametakiwa kupiga photocopy mikataba yao,je hii ni sawa.Mimi nilidhani maandalizi ya kutosha yamekwisha fanyika.
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Chadema Musoma Wanaharakati Japokuwa Musoma ni jimbo linaloongozwa na majembe ya CHADEMA kila kona, lakini sifurahishwi na utendaji wa baadhi ya madiwani pamoja na mbunge wake waliopewa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
WANAOGOPA KUDHURIWA NA VIAPO VYAO TUWAOMBEE DUA KWANZA WASIPOBADILIKA TUWAZOMEE KWA ZAMU. By Zdaima. Mwenyezimungu wafunguwe waja wako hawa waweze kutambua wema na ubaya Amiin. Ndivyo ninavyoweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la polisi katika mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar-Es-Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kutawanya kundi la vijana walio kuwa wamefunga barabara ya Mjimwema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
may be it is our nature to have these super-rich, super-powerful people in our society...they are no ''real'' kings anymore but there are people making more or less officially the same calls that...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom