US tycoon to finance construction of Serengeti airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US tycoon to finance construction of Serengeti airport

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Aug 14, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mon, Aug 13th, 2012

  Tanzania|

  An American tycoon, Mr Paul Tudor Jones, has agreed to spend millions to finance the construction of an international airport in Serengeti district, Mara Region.

  Mr Ng'oina had assured a full council meeting here on Friday that the American investor has agreed to finance construction of the much awaited airport that will transform Mugumu town in
  Serengeti to a tourist hub.


  "Mr Jones has agreed and he has written to us a letter accepting to finance construction of the airport,"
  Serengeti District Council Chairman, Mr John Ng'oina confirmed to this paper.


  "We are now waiting completion of the master plan and the go ahead from the Ministry of Transport. After the construction, the airport will be handed over to
  Serengeti District Council", Mr Ng'oina said. He, however, did not disclose how much exactly the project will cost and what the tycoon intends to spend in implementing the same.


  Mawala Trust Fund of
  Arusha has also agreed to assist in supporting preparation of the master plan, according to him. Construction of the airport will enable thousands of foreign tourists visiting Serengeti National Park to fly direct to Mugumu and later use vehicles to enter the park which is blessed with beautiful fauna and flora.


  The project will play a significant role to boost revenues for the Serengeti District Council upon its completion, according to Serengeti officials. Mr Ng'oina challenged local investors, including Serengeti based business community, to start investing heavily on hospitality industry by setting up tourist lodges, among other things.


  "We need top class hotels that will meet the demand of expected tourists who will be landing in Mugumu and our farmers should also strive to produce high quality products," he added. Many families and a public primary school had been relocated to pave way for the construction of the airport at Kyambahi ward a few kilometres from Mugumu town. Compensation money was also paid by the US investor a few years ago.


  Serengeti District Commissioner, Cpt James Yamungu urged Serengeti residents to take advantage of the project and prepare to accommodate more tourists expected to visit the area. "We want Serengeti to be the major transit route of tourists visiting Serengeti National Park. Let us build nice hotels that will meet the demand of visitors", the DC said.


  Mr Jones has already set up luxurious lodges that are operated by Singita Grumeti Reserves (SGR) in the area. They include Sasakwa, Farufaru, Sabora Tented Camp and Singita Explore Mobile Camp. Recently the lodges were named the best by Travel- Leisure Magazine of the United States for 2012 from a list of top 100 hotels in the world for the second time in a row.


  Travel- Leisure Magazine is one of the world's most trusted magazines in tourism and travel industries. The USA billionaire is rated to be the leading investor on tourism and conservation industry in Western Serengeti. He is said to have fallen in love with the Serengeti eco-system. The government has already expressed its satisfaction with the lodges, citing global awards they have won in 2011 and 212.


  "I was outside recently and it was indeed amazing to see Grumeti lodges being featured on popular televisions stations like CNN. This means that the lodges are marketing
  Tanzania", the Minister for Natural Resources and Tourism, Ambassador Khamis Kagasheki, recently said during a tour of Serengeti district a few days ago.


  By Mugini Jacob, Tanzania Daily News   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145

  Why AIRPORT in SERENGETI? DO WE REALLY NEED ONE?

  Sisi tunagawa Mali zetu bure; Kenya wao wanajenga Nchi yao vizuri... sisi tunawacheka ni Wakabila; Wadini; Wabaguzi

  Sisi tulikuwa sio; lakini tunayakana hayo Ukisikiliza Radio ilioko Morogoro - Kenya hawana Radio kama hiyo; Ukihudhuria

  Mikutano ya UAMSHO Kenya hawana Mikutano kama hiyo--- Ukilisikiliza wabunge wetu na Mipango yao kuzima Umeme

  Nchi Nzima kwa Manufaa yao wenyewe utashituka roho itakupasuka... NDIO HAO WALIOKUWA WAJAMAA ni WEZI wa

  HALI YA JUU PESA USWISI...
   
 3. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,221
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Soma kichwa cha habari na habari yenyewe vizuri ili ikusaidie kuelewa kwa nini hiyo Airport inajegwa Serengeti. Hiyo project it's funded by "U.S Tycoon" ambaye anamiliki baadhi ya lodges na hotels huko.
  Wewe ulitaka airport ijengwe wapi? Au akajenge kwenu Sumbawanga wakati shughuli na biashara zake ziko Serengeti!!??
  Tuache kukurupuka na kutapika lawama kabla ya kuelewa mchakato mzima umekaaje.
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Analipa kodi sh. Ngapi??
  Hapo itakuwa badala ya kulipa kodi amekimbia na kujenga Airport!! Viongozi wamelamba 10%
   
 5. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,221
  Trophy Points: 280
  Hayo mambo ya kodi siyajui mkuu,unaweza ukaenda taasisi husika wakakusaidia na Hilo. Mimi nimemjibu huyu mleta mada kwa kuuliza kwa nini Airport inajengwa Serengeti?
   
 6. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,934
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  'Eti fall in love' Uzeni kila kitu huyu Jones ameimega sehemu ya Serengeti Grumet reserve na kuifanya mali binafsi, ukipafika ndo utajua kule ni nchi nyingine, wanyama anawachimbia maji wanahama serengeti na kuresident grumet, mbona tunakuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe? Je ahadi za ****** kwa nini asiujenge huo uwanja? Kagasheki nawe usisapot tu kutumaliza
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145

  Ndio Maana nasema tuna rasilimali za kutosha kama tukiwa na Mpango Mzuri tungejenga hicho kiwanja kuliko

  Huyo Mwekezaji; Sababu sasa atakuwa na upper hand; Mfano Romney Running Mate for US Presidency Paul Ryan

  alikuwa Tanzania akipumzika na kuwinda; alikuwa kwenye hizo private RANCHES watakuwa wanakuja na kuondoa

  NCHI ya Tanzania haijui chochote; Hiyo ni Riski kwa Usalama wa Nchi... wewe unafurahia kwasababu haufikirii Mbali

  Unafurahia tu haujui Ubaya wake... MAWAZO FINYU RAHISI KUTAWALIWA KIFIKRA...
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Serikali ingekuwa inajitambua wala isingesubiri msaada wa US Tycoon kujenga airport katika eneo ambalo litasaidia kuboresha utalii na kuongeza kodi. Currently wanapata 40 percent ya mapato ya utalii kwa wanaotembelea mlima Kilimanjaro na inachangiwa sana na uwepo wa uwanja wa ndege wa Kimataifa. Serengeti ilivyo sasa usafiri ni headache kwa yeyote anayetaka kutembelea, unapiga 300 Km za rami na vumbi kutokea Mwanza. Hakuna mtalii aliyetayari kuwaste masaa matano kuifikia mbuga, wengi wanaokuja ni wale walio desperate.
  Tukiwaambia muikatae CCM mnasema propaganda lakini wameshindwa kifikiri kuipeleka hii nchi mbele
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sidhani huyu analipa kodi yoyote. Namsikia Ngo'ina akihimiza wakazi wa Mugumu wajenge hospitality industries anachosahau ni kwamba huyu Tudor wageni wote watakaokuwa wanatumia "uwanja wake" wataishia kwenye kambi zake. Wakazi wa Mugumu wataendelea kuwa watizamaji tu, believe me.
   
 10. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,221
  Trophy Points: 280
  Wewe unajua vigezo na masharti ya kujenga na kuendesha uwanja wa ndege? Mimi nikifurahia inanihusu nini? Na wewe unayeona mbali umekuja na solution gani kutatua hili tatizo zaidi ya kuilaumu serikali? Tumekuwa nyuma kiasi gani kimaendeleo kwa kusubiri hiyo "Mipango Mizuri" unayozungumzia!?

  Watanzania tulio wengi ni wavivu na walalamishi. Ikititokea mtu anathubutu kufanya kitu ndio tunakurupuka na malalamiko bila kuwa na SOLUTIONS zinazoweza kutusaidia kimaendeleo.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kama hayo mambo yake ya kulipa kodi huyajui kinachokufanya ulete kiherehere cha kumtetea huyo mwizi ni nini?
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Dada borat mbona unakuwa mkali gamba linawasha? Njoo nikusaidie kulipara Kama samaki ndio kazi yetu watu wa pwani
   
 13. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Bado yuko kwneye tax holiday na ataendelea hivyo.
  Muda wa kulipa kodi ukifika atabadilisha jina la kampuni.
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mara ngapi ndugu yangu?
  Hatuna letu tena
   
 15. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hiyo Airport kazi yake kubwa itakuwa Kubeba Dhahabu inayochimbwa Kinyemela Ndani ya hifadhi ya Serengeti.

  Pia Tanzanite itakuwa inatoroshewa kipande hiyo.

  Wamehangaika na Serengeti Highway Weeee wamebanwa mpaka na jumuiya ya Kimataifa, sasa wameona watokee na Airpot.

  Kabla ya ku-support huu wizi jaribu kuchunguza Airpot or call it Airstrip ya Waso -Loliondo inafanya kazi gani kubwa. Wale Twiga wengine waliotoroshwa walipitia hapo na wanyama wengine wengi na sio KIA.


  Kwanini Airpot hii waikubali, waikatae ile ya Sakila??
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145

  Umeshaona hapo Umeshajiita Mvivu na mlalamishi... Mobutu Sese-Seko aliruhusu Viwanja kama hivyo aliishia kuto

  tambua ni Vingapi wakawa wanaingia na kuleta Majeshi yao kulinda Vitega Uchumi Vyao; wakaamua kutomsaidia

  Mobutu kama ni Mwizi anaiibia nchi yake ndio huo Uvivu Viongozi wa CCM wameanza kama Mobutu kukimbiza pesa

  Uswisi; kidogo Vita Vianze hawa watachunga vitega Uchumi Vyao kama Zaire walivyofanya na kuwaacha Wabongo

  Kuuana... Wewe Unashangilia hicho kiwanja haujui Mbeleni hakita kusaidia wewe hata kidogo...
   
 17. escober

  escober JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu unachokisema na sahihi hakuna mwananchi wa serengeti anayeweza kujenga hoteli za kushindana na hoteli kama sisikwa, bilila au gurumeti lakini ujenzi wa uwanja wa ndege utasaidia wananchi kuboresha maisha yao kwa namna moja au nyingine kwa sababu kutakuwa na flow kubwa ya wageni tofauti na sasa ambapo wageni wanapitia arusha.

  hii na faida kwa watu wa Mara na a big blow kwa arusha kwa sababu kwa muda mrefu mrefu watu wa arusha wamenufaika zaidi na hiyo mbuga kuliko watu wa Mara ambapo kuna hiyo mbuga.
   
 18. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,221
  Trophy Points: 280
  Mkuu Escober,
  Hapo kwenye nyekundu, naomba uelewa ya kuwa sio kila mtalii anaweza kufikia Sisikwa,Bilila na Gurumeti. Kuna watalii wa kawaida ambao wana-prefer kufikia kwenye "Camp" like kind of lodges and motels. Watalii hao wa kawaida ni wengi ukilinganisha takwimu kuliko hao matajiri na movies stars wanaoukuja Serengeti kwa seasons.
  Mimi ni mwenyeji wa huko Serengeti na nina uhakika na haya ninayozungumza.

  Hapo kwenye blue,kuhusu suala la kujengwa uwanja wa ndege Serengeti limekuwa likihujumiwa na wajanja wachache kwa sababu ya kutumia KIA kwa muda mrefu. Huo ukweli ambao umethubutu kueleza hapo ya kuwa hao ndugu zetu wamefaidika na mbugani ya Serengeti kuliko wanaMara uko wazi. Ndio maana hili suala la uwanja lilipingwa. Kuna baadhi ya watalii wa kawaida wanapendekeza kuwa na uwanja Serengeti kutasaidia,kwa kuwa hawaoni sababu ya kwenda Arusha ndio waje Serengeti. Tafiti zilifanyika na ndio maana Huyo "U.S Tycoon' akaamua kuwekeza kwenye Hilo suala la uwanja wa ndege kwa kuwa sisi WaTanzania bado tunasubiri "Mipango Mizuri" na kila kitu kifanywe na Serikali.

  Kuna watu humu wanakurupuka tu na kulalamika kuhusu uwanja kujengwa Serengeti. Na wakati kuna charter planes zinatua pale kila siku. Kukijengwa uwanja wa ndege utasaidia kuweka takwimu ya ndege na watalii wanaoingia nchini kwa kupitia Serengeti.
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 20. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani mimi ni mwenyeji wa huko, mpaka sasa japo Mugumu ni mji mdogo kuliko Musoma lakini gharama za maisha hasa huduma za malazi ni ghari sana. Kuna guest nyingi sana na vihotel vidogo vingi kuliko Musoma na Tarime lakini gharama kubwa sana.
  kuwepo kwa uwanja kutaongeza idadi ya watu biashara pia zitakua
  siyo wote watakua na uwezo wa kulala kwenye hotel za John paul kama anavyojulikana huko Serengeti maana kwa mfano kwenye hoteli yake ya Sangita gharama ndogo ni dola 5000 kwa siku na pia hotel imejaa na ina booking ya mwaka mzima na hupokea wageni wa kimarekani tu
  Hivyo basi bado kuna opportunity ya watu kuongezeka na kutafuta maeneo mbali mbali ya kulala, kwa sasa watalii wengi huenda Arusha ambapo ni mbali
  Gharama za viwanja Mugumu imepanda sana na havipatikani kiurahisi sijajua endapo uwanja ukijengwa kama raia watapata maeneo ya kujenga au yataporwa na matajiri.
  by nature wilaya ya serengeti ina upungufu mkubwa wa ardhi hasa ukizingatia 94.6% ya ardhi yote imekaliwa na national park na game reserve na sasa kuna mpango wa WMA inaonekana takribani 2% inaweza chukuliwa kutoka kwa vijiji jirani kwa ajili ya WMA nadhani pressure itakua kubwa na migogoro ya ardhi itaongezeka
  Kuhusu kodi sijui ila ninachojua ni kuwa huyu jamaa tangu miaka 5 iliyopita angekua ameshaanza kujenga uwanja ila tatizo ni umiliki wa uwanja, inaonekana anataka share kubwa, hivyo basi kwa maneno ya mwenyekiti labda tayari wamekubaiana na matakwa ya mwekezaji huyu.
  sina imani kama wananchi watanufaika moja kwa moja na uwanja ila watanufaika na fursa zingine zitokanazo na uwepo wa uwanja huo
   
Loading...