Watoto wa mama lishe, wakulima, wavuvi na wanaouza nyanya na mboga magengeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa mama lishe, wakulima, wavuvi na wanaouza nyanya na mboga magengeni

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Think, Aug 17, 2012.

 1. Think

  Think Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado najiuliza kwa mtu aliyezaliwa Tanzania na kukuwa kwa kutegemea kilimo cha mkono, uvuvi au mama lishe au kuuza ktk magenge ya mboga au nyanya je anaweza akapata kazi;

  ikulu, bandarini, ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali, ofisi ya bunge, wizara ya nishati na madini, TRA, TANAPA, wizara ya fedha na uchumi, benk kuu ya tanzania kwa kuomba kazi kwa kupeleka barua posta au kwa mkono hadi ofisini alafu matokeo yake akapata kazi?

  nimtegemee nani wa kunisaidia kama hali yangu niliyonayo bado simjui mtu ktk kupata kazi?

  maisha ni magumu na wazazi wanategemea msaada wetu mara baada ya kumaliza masomo na hatujui sisi pa kwenda, serikali ni ya watanzania au ya wenye nacho?

  inaumaaaa jamaniiii
   
Loading...