Mbegu dawa ya Mh SHIBUDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbegu dawa ya Mh SHIBUDA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Aug 16, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Akiongea na TBC jini ya leo Mh Shibuda(Rais wa Maswa) ameiita bajeti ya serikali kama mbegu dawa.akifafanua zaidi amesema bajeti kwa kila wizara hupitishwa ili kufanya maendeleo na kujijenga zaidi.

  amelalamika kuwa mbegu dawa kwa wakulima wa pamba na wafugaji haina msaada mkubwa kwani imeenda kinyume na matarajio ya wakulima na wafugaji

  Mbegu dawa ya mwaka huu haijakamilika


  My take: kiswahili kina mengi
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  mimi sijui huyu bwana hivi viswahili na misemo yake huwa anakaririshwa na nani halaf ukiitohoa vzr utgundua imekaa kiutusi utusi.
   
 3. ugolo wa bibi

  ugolo wa bibi JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 1,231
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Shibuda ana methali nyingi sana,sijui huwa anamaanisha nini!
   
 4. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  khaa! Shiibubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! ni ndege au mnyama??????
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kweli shibuda ni balaa,ni mpigania haki wa wakulima wa pamba,yeye kama mwenyekiti wa wakulima wa pamba mikoa 15.anafanya kazi nzuri sana!ila ana misemo kweli huyu jamaa,naona sababu kaishi sana zenji.
   
 6. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,928
  Likes Received: 951
  Trophy Points: 280
  Interesting
   
 7. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mzee wa ujira wa mwiha!
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa alikua anaongea kisukuma bungeni??
   
 9. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Intelijensia makini wa magamba!!!
   
Loading...