Ramadhan imeleta mshikamano bungeni - Makinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ramadhan imeleta mshikamano bungeni - Makinda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zomba, Aug 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Amma kwa hakika huu ni mwezi mtukufu, Spika wa bunge la Tanzania amekiri kuwa Ramadhan imechangia kuleta ushirikiano na kuzidisha amani na utulivu bungeni.

  Ni uhakika kuwa Ramadhan imetowa darsa kwa walio na wasio Waislaam na tuendeleze hali hiyo nje na ndani ya Ramadhan.


  Ramadhan Kareem na Eid Mubarak.

   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  zomba hii ni kweli maana hata mtaani vibaka wamepungua kwa zaidi ya 85% na hapa ndio unapoona hoja ya kutaka kipengele cha dini kwenye sensa. Waislamu ndo wengi nchi hii na we ukitaka kuamini subiri mfungo uishe uone vibaka na vyangudoa watakavyojaa kila mahali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi wale mafisadi wengi wakiristo waliojaa serikalini jinsi wanavyoiba na kuzuia waisilamu waliofaulu kwenye mitihani yao wangelikuwa hawana ajira mtaani kungekuwaje, maana mafisadi wote waliopo serikalini ni wakiristo MAKAFIRI
   
 4. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nchi hii kila fisadi yaani majambazi wakuu wote ni wakiristo bora ya sisi waisilamu tuntowea nyei wakiristo makafiri munezua kabisa kila jambazi ni mkiristo na kila fisadi serikalini ni mkiristo kafiri
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kuna wengine wanazini na wake za watu official, huwajui? hawana hata mwezi wa kutubu wala kwarisma, mwendo mdundo.

  Hao machangu na vibaka wanaoheshimu Ramadhani ujuwe ni wabora mara elfu kwa kukumbuka na kufanya toba na kumcha Mungu wao, kuliko wasiojuwa toba ni nini. Na mwenyeezi Mungu atawahidi na kuwaondolea mabaya yote.

  Na hao wasiojuwa kutubu tunawaombea Mwenyeezi mungu awafunguwe, hakuna kosa asolisamehe ukitubu kwa dhati ila shirki.

  Na wote waliopo kizani kuabudu binaadaam mwenzao na masanamu tunawaombea Mwenyeezi Mungu awatoe kizani kuwaweka kwenye Nuru na awabainishie kuwa hakuna apasae kuabudiwa ila mmoja tu.
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  narubongo,
  Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa vibaka na changudoa ni waislamu?
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hapa sioni lolote zaidi ya povu tu!
   
 8. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Naikubali sana Ramadhani, ila spika kaleta unafiki tu pale....wanasiasa ni watu wa ajabu sana.
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  anataka kumaanisha unywaji pombe kabla ya kikao cha jioni umepungua kwa sababu ya Ramadhani?
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu, na kwako pia, Ramadhan Kareem
  Si unajua Ibliss amefungiwa mwezi huu mtukufu?
  Anae leta kejeli na uzinzi ni yeye mwenyewe, hajashawishiwa!
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Do you mean this? Una stats au unaongea tu kuchangamsha baraza?
   
 13. Paladin

  Paladin Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unayesema mafisadi ni wakristo anamtindio wa ubongo! Tena yaelekea anafikiri kwakutumia yale aliyosema masaburi!

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 14. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mafisadi ni makafiri kwa hili usibishe kwani nyie ndio mnaosema kuwa eti mmesoma na ndio wengi mpo serikalini na ndio mnaoendesha ufisadi kila siku.
   
 15. JJB

  JJB JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani kwa kua machangudoa na vibaka wamepungua mtaani basi hiyo ndio alert inayo onesha wingi wa waislam? Au kwa kua bunge limetulia basi waisilam ndio wameleta mshikamano bungeni? Sema waislam huwa hawana kazi za kufanya ndio maana wamezaa mitaani na kuendeleza umbeya waliorithishwa na waarabu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. JJB

  JJB JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Rais wako ni mkristo? Mbona yupo kwenye list of shame?
   
 17. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Zomba , umeleta mada nzuri ila kuna wajinga wachache wanaiangalia katika angle ya udini ,
  hopefully , na wewe dhumuni lako halikuwa udini , maana wewe utakua ni mjinga zaidi yao
   
 18. JJB

  JJB JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kafiri ni wewe mwenyewe na ukoo wako. Embu angalia, karamagi, Rostam, mkulo , Kikwete, je hao ni wakristo? Kigoma wazima?
   
 19. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Watanzania hatuna sababu ya kugombana kwa dini zakuletewa , tena zote zikiwa na dhumuni la utumwa na ukoloni nyuma yake.
   
 20. n

  ng'wandu JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa Zomba, toba ya mwezi mmoja tu na miezi mingine kumi na moja ni kufanya dhambi kama kawaida inasaidia nini? Hiyo toba ni sawa sawa na kumdhihaki Mungu.

  Biblia inasema katika Galatia 6: 7 "Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi".

  Ukitaka kumpendeza Mungu kweli kweli unapaswa uzitubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha kabisa na ndipo Mungu anapokusamehe (Mithali 28 :13 - Afichaye dhambi zake hatafanikiwa bali aziungamaye na kuziacha atapata rehema"
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...