Je unazifahamu nguo maalumu za makarani wa sensa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unazifahamu nguo maalumu za makarani wa sensa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Aug 16, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Nimesikia matangazo ya kuhasisha sensa katika vyombo vya habari yakisema, makarani wa sensa watakuwa wamevaa nguo maalumu wakati wa zoezi la sensa. Zimebaki takribani siku kumi kuelekea siku ya sensa, binafsi sijajua hizo nguo maalumu zina rangi na maandishi gani, kama unajua naomba utuambie ili kukamilisha elimu kwa umma.
   
 2. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mimi zisifahamu. Halafu nahofia siku ya sensa nitakuwa safarini, so nimepiga marufuku kumfungulia mlango mtu yoyote kwa kina dada, wangeonyesha uniform zao zipoje ningemwambia dada awafungulie wao tu, lakini me nahisi na familia yangu hatutohesabiwa.

  Ulinzi kwanza jamani, wengine watakuja wamejitengenezea mashati yameandikwa wakala wa sensa na ina log ya serikali kumbe wezi, and i love my thing so much to risk them like this.
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kofia, fulana au t shrt na kitambulsho
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Na tabasamu pia zitakuwepo!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Of course, rangi za taifa. Unazijuwa?
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu unataka kuzicopy halafu ujidai ni mchukua takwimu nini?
  Nahisi ka harufu cha utapeli hapa.
   
 7. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  UMEONA MKUU.. Na wanaojua pia umuhimu wa Sensa Walikuwepo

  [​IMG]
   
 8. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Km vile vinguo vya watu wa parking jijini darisalama au wajenzi vile vizibao vinavyog'aa!
   
 9. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Za Taifa au Bendera ya Taifa?:israel:
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kauliza zina rangi gani.
   
 11. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wakuu msishangae jamaa wanatoka na rangi za kijani na njano kwani wasimamizi wakwanza ni wazee mabarozi wa ccm eti nyumba kumi.
  Wakuu hamuoni ziara za rais, makamu, mawaziri na la kusikitisha hata ziara za walioba bado njano na kijani inatawala na hakuna hata kukemea. Nyie subiri kama hawavalishwi magamba suit.
   
Loading...