Kwa Taarifa tu:TAZARA hakuna mafuta wiki ya pili sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Taarifa tu:TAZARA hakuna mafuta wiki ya pili sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Aug 17, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama ulikuwa hujui ndo nakufahamisha..lile shirika lililoanzishwa kwa mkopo wa wachina TAZARA,lipo hoehae.niandikapo ujumbe huu ni kwamba treni zaidi ya tatu zipo steshen mbalimbali(zimekwama) kwa kuwa hakuna mafuta..

  tunasisitiza lazoma Madrid na barcelona waje,tunaandaa hafla kwa ajili ya watalii wa Olympic lakini tunasahau sehemu nyeti na muhimu kwa maendeleo ya taifa...wapi mh mwakyembe na mbwembwe zako?
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mafuta wameyauza eeh??!! Hawana hata aibu.. Sio kwamba shirika halina pesa ni kua pesa zilizotengwa kwa ajili ya mafuta zimeliwa au mafuta wameyauza
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  vp mwakyembe upooooo?
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Mambo mawili yamenichekesha katika hii post yako: ujio wa Real madrid na mbwembwe za mwakyembe, nimewoiwa kuorodhesha vivid episodes of the year ambazo, hatahivyo mkuu wa boma hazimnyimi usingizi:
  . Baada ya mgomo wa walimu, rais naye kugoma kutekeleza mahitaji yao japo ni haki yao.
  . Jaribio la kumuua dk Uli.
  . Kukosa fedha ya kukarabati rada.
  . Mgomo wa madaktari uliofanikiwa kwa kishindo. N.k

  for a coward person like me(hard to admit), i would have resigned mapemaa.
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  liwalo na liwe
   
 6. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Wafanyakazi wa Tazara nao wamechangia kuua hilo shirika kwani wamekuwa wakiuza mafuta,kuiba mizigo ya wateja na hata kukataa kutoa ushirikiano pale wananchi wanapohitaji huduma kama ya mabehewa kwa ajili ya kusafirisha mizigo tatizo hili lipo Makambako kwa treni ambayo ina uhakika wa kupata mizigo ya cement toka mbeya,shaba toka Zambia,Mbao toka makambako,mafuta kwenda Zambia haiwezi kufikia hatua hiyo
   
Loading...