Watu watatu wafa kwa ajali ya moto mbeya!

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Mama na watoto wawili wameteketea kwa moto, ulio sababishwa na kuungua kwa nyumba walio kuwa wanaishi. ajali hiyo imetokea maeneo ya ilemi mbeya, chanzo cha moto inasemekana ni shoti ya umeme.
tukio hili ni la pili, kwani pia juzi mtu mmoja na mkewe wamefariki dunia kwa shoti ya umeme maeneo hayo hayo.
 
Ijije ikawa wapiga nondo wameamua kubadili mbinu za kuteketeza watu harafu sisi tukadanganywa kuwa ni shoti ya umeme?!.
 
Roho ya mauti naona imeweka kambi yake ya kudumu mkoani Mbeya.
Tuuombee mkoa huu Mungu aunusuru na majanga.
Licha ya kuwa majanga mengine yanasababishwa na uzembe tu wa mwanadamu
 
Back
Top Bottom