Duh nimesikia vibibi vizee vyotewvimefungiwa ndani,masela wanapambana kitaa.
Hawa pilisi wanaumwa ugonjwa maarufu kwa jina ccmuism ulimbokaliasis unaoenezwa na kirusi maarufu kiitwacho ufisadiasis mwemaliasisWatu wa hapo huwa hawana masihara ni napajua vizuri hapo
Hawa pilisi
wanaumwa ugonjwa maarufu kwa jina ccmuism ulimbokaliasis unaoenezwa na
kirusi maarufu kiitwacho ufisadiasis mwemaliasis
Mabomu yanarindima polisi wamepagawa...ni vita kati ya polisi na raia wenye hasira. Nasikia kuna ajali ilitokea,kuitwa polisi wakaleta majibu ya dharau,raia wakachoma pikipiki ya polisi...pashanuka. Stay tuned!!!!!!
Polisi walikua na pkpk wakimkimbiza dereva pkpk ambae hakuvaa Helment,bahati mbaya wakagonga watoto mw2 waliokua kwenye Baiskeli, wananchi kwa hasira wakaanza kuwapiga hao Askari ndipo mabomu na Risasi za moto vilipoanza, Majeruhi mmoja wa Risasi amelazwa Hospitali ya Wilaya Newala.
hao mapolisi wa pikipiki ni washenzi sana, inabidi wananchi wawashikishe adabu.
Nasikia jamaa wahapo ni noma,si ndiyo nasikia walishawahi kuiba hadi maiti ya mtoto.Chezea Mahuta weyeeee!!
Eeh! halafu wakaifanyaje?