Manaja tanesco songea mbona hueleweki au tumwombe waziri aje kukukagua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manaja tanesco songea mbona hueleweki au tumwombe waziri aje kukukagua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aman Ng'oma, Aug 17, 2012.

 1. A

  Aman Ng'oma Verified User

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 930
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Toka umetangaza mgao wa umeme kutokana na kuharibika jenereta,tunashindwa kuelewa mgao wako kama kweli jenereta limeharibika au ni mwendelezo wa ufisadi kwani mgao wenyewe unaonekana unaendeshwa kiubaguzi,tuna mashaka kama umepewa rushwa ni bora useme.kuna maeneo umeme haukatiki kabisa lakini sisi wengine mfano watu wa matogoro,makambi na mateka leo siku ya tatu hatupati umeme shida ni nini?bili ya umeme ni ile ile.acha hizo nchi haiendi hivo,unategemea tunaishije?
   
 2. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  MANAJA ndio nini?
   
Loading...