Madereva wa Daladala na Magazeti

mjukuu2009

Member
Jul 6, 2009
89
4
Tabia ya Madereva Daladala kusoma magazeti wakiwa wanaendesha magari ya abiria imekisiri kiasi cha kutishia usalama wetu watumiaji wa Daladala,naomba vyombo usika vichukue atua hii tabia pamoja na ile ya kuendesha gari uku akiongea nasimu.




Z
 
Back
Top Bottom