Do you believe natural TALENT exist?

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,196
is there such a thing as natural talent? Au juhudi za watu tu zinawafanya waonekane wanavipaji.. Eti shule za vipaji maalumu, ni kweli hawa wana vipaji ambavyo ni maalumu au wametia bidii kwenye masomo kuliko wengine?

Wakuu heshima kwenu
dou you believe natural talent exist or do people become master at thing through hardwork..?
 
ndio natural talent ipo lakin na hardwork vinaenda sawa kama umesoma nadhani ulikuwa unaona watu wanamaudhulio mazuri class,wanamausiano mazuri na walimu ya kimasomo,ukimwona anajitihada za ukweli lakini mtihani ukija anafeli vibaya
 
natural talent ipo sana..kama mimi i have a natural talent in writting.when i write something it is very rare to be edited..you will love it..nilipokuwa o level i need not reading history..i only had my few points which i normaly use them according to what the question said..and i end up getting 98..wengine waliokua wanakesha wanafuatia..i got A in o and A level..hapo nikaamini kuwa writting its my talent..So Natural talent exists!! another natural talent is memorising..when i see something ..i can later on describe it without any mistakes..it all comes naturally..without hard work..
 
kwahiyo talent bila juhudi si lolote?
 
We mkareeeee wa kitaaaa plus visifa kwa mbaliiiii.
 
kuna watu walisemwa kuwa wao wanavipaji maalumu kabisa lakini wakaishia kupata zero,je talent yao ilifika mwisho? Kuna kipindi talent ufifia na kuibuka tena au nini?
 
is there such a thing as natural talent? Au juhudi za watu tu zinawafanya waonekane wanavipaji.. Eti shule za vipaji maalumu, ni kweli hawa wana vipaji ambavyo ni maalumu au wametia bidii kwenye masomo kuliko wengine?

Wakuu heshima kwenu
dou you believe natural talent exist or do people become master at thing through hardwork..?

Vipaji vipo sana tu.
Ili viwe bora, aghalabu vinahitaji kuendelezwa. Kipaji bila muendelezo huweza kupotea. Kumbuka wale wachezaji ambao umecheza nao mpira wa mkaratasi 'Chandimu', uliwaona ni wakali. Je wangapi vipaji vyao vimeendelezwa. Na wanariadha je uliosoma na msingi? Hata ukiwa na kipaji cha kuimba, kama huimbi kinapotea. Mazoezi na muendelezo ni muhimu sana.
 
natural talent ipo lakini mfumo wetu mbovu wa ufundishaji na utungaji mitihani hautuwezeshi kupata hao watu Kenya kabla ya kutunga mitihani wanapitia kila shule kuangalia wanafunzi wamefundishwa hadi wapi na kama shule nyingine ziko nyuma zinahimizwa ziongeze bidii baadae wanapitia na wanatunga mitihani kutokana na pale wanafunzi walipofikia Lakini kwetu watungaji wanatunga mitihani kwa kuangalia silabasi matokeo yake wale waliosoma kwenye mazingira mazuri mara nyingi ndio wanachaguliwa kama wanafunzi wenye vipaji
 
is there such a thing as natural talent? Au juhudi za watu tu zinawafanya waonekane wanavipaji....

Wakuu heshima kwenu
dou you believe natural talent exist or do people become master at thing through hardwork..?
kumbe english medium schls zinasaidia xana tu.... nakipenda kipindi cja kiswahili lugha ya taifa...
 
Vipaji vipo, kuna vipaji mbalimbali, unaweza kumwona mtu anafanya kitu, hadi wewe mwenyewe ukashangaa, kwa jinsi alivyokifanya kwa ufundi na ufanisaha. Nafikiri kuna kitu serikali ilikosea katika kuibua na kuendeleza vipaji hasa kwenye hizi shule tunazoziita za vipaji maalumu, coz huwa hainingii akili mimi, mtu aliepata division 1.7,8 au 9 O'level akapate div 3 au hata 4 A'level na vilevile aliepata div.1.3,4,5,au6 aka disco Chuo kikuu, kuna tatizo hapo.
 
vipaji vipo mkuu tena sana lakini ili kukifanya kiwe endelevu sharti kukijua,kukiendeleza kwa jitihada kadha wa kadha.

vipaji visipoendelezwa hudolola na kupoteza umashuhuri wake.

kuhusu shule ya vipaji maalumu hapa ni shida kidogo kulinganisha dhana hii ya waliofaulu kuwaita wana vipaji kwani wengi wao si vipaji ila ni kujitahidi sana kulikowafikisha hapo.
 
Back
Top Bottom