Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nora Damian DIWANI wa Kata ya Vijibweni,wilayani Temeka, Seleman Mathew ,ameiomba Serikali kufanya upya tathmini ya mradi wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni, ili kuwatendea haki wananchi.Alisema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nmepata habar kua jana tbc kupitia taarifa yake ya habari ya saa 2 usiku walitoa tamko la kuomba msamaha kwa waumini wa dini ya kiislamu ili kuwapa moyo wa kuwafanya wakubali kuhesabiwa.je ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Makampuni matatu makubwa yahusishwa *Mbunge wa CCM ashiriki mchezo mchafu MPANGO wa Serikali wa kudhibiti bei ya mafuta kupitia utaratibu wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja (bulk procurement) upo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau huku kwe2, wilaya ya Mbulu Manyara leo kimetoke kitendo cha ajabu ambacho kwangu mimi ni cha ajabu sana kwa sababu zaidi ya makarani 80 wamefutiwa ukarani wao bila ya kupewa hata kumi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo,nikagundua kuwa rangi za chadema zinapendwa sana na watu,hivyo napenda chadema watafute kiwanda hata nnje ya nchi.kituzalishie product zenye rangi za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tarehe 15 Agost, 2012 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza ametembelea kituo cha utangazaji cha Radio CLOUDS FM ya Dar es Salaam. Katika mengi aliyoyasema katika tasnia ya habari ni pamoja na...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Mgomo wa wafanyikazi wa umma nchini Afrika Kusini umeingia siku yake ya pili, huku wafanyikazi zaidi wakitarajiwa kujiunga na mgomo huo, ambao umekatiza hudumu za umma kote nchini humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana jf kuna nyumba inaungua moto huku temeke,yombo vituka karibu na karakana ya tazara.nyumba iko mtaa wa kiembe samaki.muda wa nusu saa sasa fire bado hawajafika.naomba msaada kama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jana usiku nilikuwa nasikiliza tbc taifa nikasikia wananchi wapo wanapanga mikakati ya kumpokea mbunge wao kishujaa baada ya kutoa hoja ile ya fao la kujitoa!!! Nikaanza kushanga! Hoja kama hizo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna wanaharakati ambao siwezi kujaji kama wanatumiwa na vyama vya siasa au la, ila wameonekana kutoa maisha yao REHANI kusema kweli yao. Nambari moja namuweka Saed Kubenea ambaye mbali na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ijumaa kareem watanzania wote wapenda amani
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Napenda kutoa shukrani za kipekee kwa uongozi wa IPP MEDIA kitengo cha ITV kwa kuwa bega kwa bega na wapinzani wa wa siasa hapa nchini. Kwa kweli mnahitaji pongezi za dhati na mmeonyesha ukomavu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari kutoka BBC zinasema polisi nchini Afrika Kusini imefyatulia risasi wachimba madini waliokuwa wanaandamana kudai malipo ya mshahara zaidi. Watu 18 wamekufa.Afrika ileile na mambo yaleyale.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ajali imetokea Nkasi mkoani Mpanda wakati lori lilipopinduka na kusababisha vifo kwa watanzania wenzetu source TBC Habari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana katika majadiliano ya Bungeni PM alitoka kauli kwamba Uchakavu utatozwa kwenye magari yaliyozidi miaka 10 na si 8 tena....
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mh. Silinde Mbunge wa Mbozi Magharibi, anahitaji PCCB wabadirike wasiwe ni watu wakuongea tu, bali iwe ni takukuru yenye meno pia. Takukuru yetu inameno tena makali kweli, kwenye rushwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bila kuathiri masharti ya katiba Ibara ya 37, wadau mnijuze ni kwa muda upi rais akiwa nje ya ofisi atahesabika kama ofisi yake ipo wazi? Mf. siku 10 au 20 akiwa nje ya nchi. Mwenye ujuzi tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Katika hali ya kusikitisha leo alfajiri basi la mohammed trans limepata ajari mbaya maeneo ya karibu na mji wa bukoba mda mfupi baada ya kutoka stand kuu. Inasemekana basi hilo liligongana na lory...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
TANZANIA Electric Supply Company (TANESCO) inspectors discovered illegal installation of 58 metres in a building in Dar es Salaam and power units worth over 8m/- suspected to have been stolen...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…