Ajali ya moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mapujds, Aug 17, 2012.

 1. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana jf kuna nyumba inaungua moto huku temeke,yombo vituka karibu na karakana ya tazara.nyumba iko mtaa wa kiembe samaki.muda wa nusu saa sasa fire bado hawajafika.naomba msaada kama wahusika wanasoma.moto unazidi na kuna uwezekano wa nyumba nyingine kushika.namba 0655222214
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Poleni sana
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  poeni bandugu,
  inawezekana magari yao hayana maji, wapigieni kikosi cha zimamoto uwanja wa ndege kwani wao wapo karibu zaidi ya wale wa makao makuu.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Piga 114
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nyumba inakwisha kabisa
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Emegence tanesco ndo wanafika ila fire bado
   
 7. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tumepiga fire muda mrefu kama saa1 imepita ila hakuna kitu.
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Flems za maduka zote tano zimeteketea,vyumba sita vyote vimeteketea.kifupi nyumba imekwisha yote.watu wanajitahidi kuzuia usiende nyumba za jirani.no fire rescure
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kama mngepiga namba yao ya land line wangekuja mapema angalau, lakini ile ya emergence, unaweza kuta anayepokea hiyo simu yupo mbali na eneo anapoweza kuwashtua wenzake ili waende kuhami uhai na mali za watu dhidi ya moto.
  Once again poleni sana.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Poleni sana...
   
 11. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Fire ndo wanafika ila hakuna kitu watakacho ambulia.
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Naamini moto haujasababisha madhara kwa uhai wa mkazi, Amen.
   
 13. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu hali ni mbaya hakuna kitu kabisa zimebaki kuta tu.fire ndo wanajiandaa kumwaga maji.wameanza sasa kumwaga maji ila wamechelewa sana.
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Ndo kwa mana tunahiitaji CHADEMA iingie madarakani ili kuondokana na huu uzembe, kituo cha fire kipo kimoja hivi moto ukitokea Kibamba?bila kuwaondoa nyie wazembe tutaendelea na majanga kila siku.
   
 15. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Gari ya kwanza imeisha maji sasa limeingia gari la pili,shughuli ni pevu ndugu kikosi kinapamba na moto
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Usiku huu inawachukua saa 1. Kwa nini kusiwe na vituo vingi zaidi? Mbona mapolisi wana vituo kila sehemu? Huu mji mkubwa jamani, we need at least 10 fire and rescue stations. Poleni ndugu!
   
 17. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  poleni tena. angalau moto umedhibitiwa usisambae.
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hawa Fire hizo elfu 40 za stika walizoanza kukusanya tangia july hawajaongeza hata kituo kimoja?
   
 19. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hivi kwa nini manispaa za jiji hazina huduma hii?
   
Loading...