Ndugu zangu watanzania kabla ya kulalamikia serikali na chama cha mapinduzi. kwanza tujilaumu sisi wenyewe. mimi naona wananchi hatuna uchungu na nchi yetu maana haya yote yanayo fanywa na...
Nimejaribu kufuatilia kwa Karibu kwenye Post zinazohusu masuala ya Mgogogro wa Tanzania na Malawi kuhusiana na Ziwa Nyasa na nimegundua kuwa tangu mzozo huu umeanza kuna watu wengi sana wameanza...
Kama ningekuwa dr hosea ningejiuzuru ukurugenzi afu nikaomba hifadhi brazil au nchi yoyote kama mhamiaji wa kisiasa afu nitoboe misiri yote ya viongozi waliopelekea taifa kuwa ktk hali mbaya hivi...
Wanasemina waliokuwa wanapata mafunzo ya jinsi ya kuhesabu watu(sensa) dodoso fupi wamejikuta wakilmishwa kuondoka kwenye eneo la semina Vituka primary kwa kutishwa na risasi za moto kwa kile...
nimejaribu kuangalia mwenendo wa mabadiliko ya kisiasa nchini na kujionea kuwa sehemu muhimu ambazo ccm hawatakiwi kufanya kosa ni zanzibar,dodoma na morogoro.
Hata chadema wanalijua hili ndio...
Mgogoro wa mpaka katika ziwa kati ya Tanzania na Malawi wengi wanasema unatokana na uwezekano wa kuwapo mafuta ndani ya hilo ziwa. Hivi kweli hata mafuta yakiwapo ni busara kuyachimba toka ziwa...
The price of gold has more than doubled in the past five years, creating considerable interest in trading the precious metal. Roughly $75 billion is traded in the London bullion market every...
Jamani nimelipia Motor vehicle licence nikaambiwa wameongeza na elfu ishirini ya fire sticker then nikachukue kule bure. Wakanielekeza jengo la ushirika TRA hao 1st floor nimeenda kule nimemkuta...
TUKIO la mwanamke Rehema Nungu kukutwa ameteketea kwa moto ndani ya gari aina ya Toyota Corolla lenye namba za usajili T 883 BLA katika msitu wa Mabwepande, jijini Dar Agosti 1, 2012 linazidi...
Eid Mubarak wana JF. Pamoja na kuwa leo ni mapumziko ya siku kuu ya Eid, si vibaya nikaletea taarifa hii ili muikosoe au hata kutoa mitazmo yenu. Wizara ya kilimo, chakula na ushirika ina idara...
Nipo hapa maeneo ya Mbezi Beach jirani na Baraza la Mitihani, kuna nyumba ya bibi mmoja imeungua, wananchi kwa bidii zao kwa kutumia vifaa kama ndoo, mabeseni na vyovyote vile vilivoonekana...
By virtue of the provisions of Article 143 of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977 (revised 2000), and section 30 (1) of the Public Finance Act No. 6 of 2001 (revised...
Since his return last Sunday, Dr Ulimboka has not been seen in public, and efforts by the media to seek audience with him have failed. In fact, no one, apart from a few doctors, knows exactly...
Wanajeshi kadhaa wa JWTZ kikosi cha mizingo wanaoishi katika mji wa Monduli wamewatesa vijana wawili waliowatuhumu kwa kuwaibia vifaa vya elektroniki. Mateso hayo ya kipigo kwa siku mbili...
Tanesco inaelekea wanataka kutuhadaa -- wanajaribu sasa kuonyesaha kuwa kwa kiasi kikubwa matatizo yao ya kifedha yanatokana na madeni waliyolimbikiza wateja hali kadhalikawezi wa umeme.
Hilo...
Leo nimeshuhudia uozo wa kijinga sana unao uhusu Halmashauri ya Ilala, pale buguruni nimeshuhudia watoza ushuru wakikusanya ushuru kwa wafanyabiashara wadogo wadogo tena ambao wapo eneo si la...
GARI TATU ZIMEHUSIKA KATIKA AJALI ILIOTOKEA KATIKA MAENEO YA TABATA MATUMBI. GARI MOJA AINA YA FUSO LILISABABISHA AJALI NA DWEREVA AKAJARIBU KUKIMBIA THEN AKAISHIA KUSABABISHA AJALI NYINGINE...
Wadau Leo nikiwa ndani ya bus kuelekea Dar es salaam, ndani ya bus kulikuwa na wazungu wapatao 8, ikiwa 6 walikuwa viti vya mbele na 2 walikuwa viti vya nyuma. Kufika maeneo ya Mombo Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.