Kwa hili naipongeza Serikali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili naipongeza Serikali...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwakajila, Aug 17, 2012.

 1. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jana katika majadiliano ya Bungeni PM alitoka kauli kwamba Uchakavu utatozwa kwenye magari yaliyozidi miaka 10 na si 8 tena....
   
 2. peri

  peri JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  bora, huenda bei ya magari ikashuka kdg.
   
 3. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu ushuru utapungua kwa kiasi kikubwa tu almost 20%
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  alifikia kukubali kishingo upande baada ya kubanwa mbavu sana
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee baba yangu kuna kacorona kalikuwa kanauzwa m 12 showroom ngoja nikakaulizie tena huenda kikawa kameshuka bei
   
 6. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kajaribu Mkuu maana hao wanaendana na upepo...
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  wakati serikali inafanya maamuzi haya ifikirie pia kupanua madampo, kuongeza uwingi wa uchafu ni moja ya effect ya maamuzi haya. Nadhani ni vema angefikiria kupunguza hiyo damping spectrum hata kufikia miaka mitano badala ya kupanua. Kwangu bado ni envirohmental disaster.
   
 8. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  unaipongeza kwa lipi wakati aliuependekeza miaka nne ni iyoiyo gvment? baada ya kushindwa kutetea hoja yake imesalenda?
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Hivi ni Watanzania wangapi wana afford kununua gari yenye umri wa miaka nane?
  Waiulize N B C Bank walivyo lizwa kwenye mikopo ya magari ya biashara.
   
 10. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ..

  Watanzania wachache wenye uwezo wa kununua magari ya 2008 mpaka hapa tulipo...si mabaya sana haya yenye miaka 10 kushuka chini...usafiri wa hapa bongo (Dar) ni mbovu sana hivyo tukipata visenti tunanunua magari si kwa kupenda...
   
 11. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ..\
  Naiongeza kwa kuwa sikivu...mangapi yamepandishwa na hayajashushwa?
   
 12. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  sawa kaka,vp paye? liwlo na liwe
   
 13. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nasikika PAYE kuna punguza kama la 0.5%...Liwalo na liwe
   
Loading...