Bana, Hii polisi ya Tanzania matata mno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bana, Hii polisi ya Tanzania matata mno

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Aug 16, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  yana mwisho
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hii picha yako mbona inahukumu watu?.
   
 4. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  mimi naona police wako sawa tu. na hata ungekuwa wewe polisi ungefanya hivyo. pia ungekuwa fisadi usingepigwa na ungekuwa kibaka ungepigwa. ukitaka haki na polisi sio africa nenda ulaya au marekani
   
 5. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Kwa nini unadhan ni sawa?
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Candid Scope umechokoza kwenyewe this time! Lakini Papaa Msofe wamemvua zile chain zake.
   
 7. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Hata huko Marekani wakati mwingine watu huwa wanachezea mitulinga wakiingia vibaya. Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Rodney King(R.I.P) alikuwa anatoa ushuhuda kuhusu hilo enzi ya uhai wake.
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi nilikamatwa usiku mwenge na jamaa wa halmashauri. Jamaa walinivizia gizani wakati nakojoa wakanidaka nikapelekwa kituo cha polisi mwenge.

  Nikaonyenywa selo lilivyochoka sana halafu jamaa wakaanza kunidai 50,000/- ama sivyo nalala ndani.

  Tangia nimezaliwa sikuwahi kupata hasira kama ile siku lakini ikabidi nitulie tu...mwisho wa siku nikawaachia 5,000/-.
   
 9. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Those photos are very good proof beyond reasonable doubt of luck of justice, luck of good governancy, political unfair and weak government Tanzania under JK.
   
 10. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  namkumbuka RODNEY KING wa los angelos alichezea vitasa balaa. na jana umesikia SOUTH AFRICA nako waandamanaji wamechezea risasi . hakuna polisi walio na urafiki na walalahoi
   
 11. b

  baba manka Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmh kwel Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!
   
 12. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  kaka mwambie aaangalie mauaji ya south afrika yaliyotokea kwenye mgodi kati ya wachimbaji na police,mbona ss ni wastaaarabu sana aseee.
   
 13. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,313
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu. Lakini usikojoe hovyo hadharani, utawafaidisha tu hawa polisi. Sasa ple Mwenge fikiria sehemu gani utakojoa kama sio kuharibu afya za watu! Siku nyingine nenda hata baa, vyoo vya baa havilipiwi.
   
 14. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mwisho wao unakaribia........
   
 15. m

  markj JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hahahaha! haaaaaaaaaa! kweli police ni -10%, yani 50 mpaka 5, hahahahaaaa! kweli shule muhimu hawajui hata thamani ya pesa, sa sibora wangekwambia toa chochote kile kiliko kukutajia hiyo alafu wakachukua 5, hahaha!
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wakikuona una mfuko uliotuna wanakubambikizia kosa ili wakuchune, vinginevyo kama ni mlala hoi na mifuko imetoboka basi hawana haja nawe.
   
Loading...