Shukrani za kipekee kwa uongozi wa IPP

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Napenda kutoa shukrani za kipekee kwa uongozi wa IPP MEDIA kitengo cha ITV kwa kuwa bega kwa bega na wapinzani wa wa siasa hapa nchini.

Kwa kweli mnahitaji pongezi za dhati na mmeonyesha ukomavu wa hali ya juu kwa kudhubutu haswa katika kipindi hiki kigumu kwa vyombo vya habari vinavyoonyesha au kuandika habari nziri zinazohusu upinzani mungu awazidishie mara mia.
 
Ukila na kipofu.... mmiliki wa IPP ni kada wa CCM !, akisikia.... angalia usije kunponza bure dada yetu Ufoo Saro!
 
Back
Top Bottom