Takukuru yenye meno, sio tu ya maneno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takukuru yenye meno, sio tu ya maneno

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by G. Activist, Jul 4, 2011.

 1. G

  G. Activist JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mh. Silinde Mbunge wa Mbozi Magharibi, anahitaji PCCB wabadirike wasiwe ni watu wakuongea tu, bali iwe ni takukuru yenye meno pia.

  Takukuru yetu inameno tena makali kweli, kwenye rushwa ndogondogo, ila mafisadi wanaoweza kutikisa nchi, hao takukuru yetu imewashindwa kabisa.... Tunaenda wapi?????
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ili iweje wakati wote nyie wezi!!!!
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tatizo kuu ni mfumo wa kifisadi uliopo!
   
 4. M

  Mohammad Waziri Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Takukuru ni mbwa alie ng'olewa meno ili asije aka ng'ata hadi wamiliki wake. Ndiyo maana makali ya Takukuru ni kwenye kukamata watoa na wapokea rushwa wadogo tu.
   
 5. m

  mhondo JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Inawezekana viongozi wengi wako makini katika kufanya vitendo vya kifisadi kwa kuwatumia wasaidizi wao na hivyo kuwa vigumu kuwakamata wao wenyewe. Ni kama ilivyo biashara ya unga ambapo suppliers wakubwa siyo rahisi kukamatwa na wanabaki kukamatwa watu wadogo wadogo wanaobeba kete chache kwenye matumbo yao.
   
 6. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Nimeona kwenye itv jioni hii. Takukuru wamejipongeza kwa kupeleka kesi tano za ufisadi.
   
 7. i

  ibra919 Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mkuu usipate shida hata mwanafunzi hujipongeza kwa kuongoza ktk darasa lake bila kuzingatia uwezo wa washindani wake hivyo hosea yuko sahihi kujipongeza maana anaona amefanikiwa wakati sisi tunaona hakuna kitu kafanya na hivi sasa yuko hewani kupitia itv na se.munzv
   
 8. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sioni sababu ya kujipongeza eti kwa kupeleka kesi 5! wameshinda hizo kesi?! tena hawa ndio walarushwa wakubwa! udhaifu huo!!!
   
 9. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kwa kweli ni taasisi ya kustawisha rushwa tu hapo bongo
   
 10. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  mnafiki huyu sijawahi kuona....Mbunge Laizer na mwenzie walipokamatwa kwa kutoa rushwa wakati wa uchaguzi wa magamba mwaka 2007 aliamuru kamanda wa mkoa asitangaze, wakati habari zinamfikia kamanda wa mkoa wa Arusha tayari press conference ilikuwa inaendelea....kilichofuatia ni uhamisho kwa kamanda kwenda Manyara, na yule wa Arumeru akatupwa kusini....kesi haikufikiswa mahakamani na Laizer anatamba mitaani. Mama Batilda alikamatwa kwa kutoa rushwa wakati wa uchaguzi wa 2010.( alikamatwa saa nne usiku yeye huyo huyo akaamuru aachiwe na wasimfuate fuate (kumbukeni jinsi kamanda Lema alivyo wavamia PCCB arusha kwa kutofanyia kazi taarifa walizokuwa wanapewa). Kilichofuata ni kuwalima uhamisho watumishi wa takokuu wapatao 8 wakati kampeni zimepamba moto....huyu ni mnafiki tu kama wanafiki wengine wa TISS
   
 11. g

  gangsterone2010 Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu wabongo ni kuongea bila kuwa na chanzo sahihi cha Taarifa...mmezoea kuyapika majungu tu sasa sielewi dizaini huwa mnatumwa kuja kusema mineno ya uongo humu kwenye JF??? Tushukuru hata huyu Hosea ametoa taarifa yake kwenu wananchi namna alivyotekeleza malengo yake...hivi ni nani kiongozi wa chombo cha dola ambaye huwa na courage ya kuongea nasi wananchi kama Hosea???!!!acheni majungu na uongo bana...jamaa ni jembe sio mchezo...mimi kwa umri wangu nilioishi sijawahi kusikia Ma-hosea wa miaka ya nyuma wamefanya lolote pale TAKUKURU!!!???alikuwepo mjeshi pale akatoka kapa bila hata kufikisha angalau kigogo mmoja mahakamani...tujaribu basi hata kumpongeza Hosea kwa mzigo alioupiga katika hii miaka michache aliyokalia kile kiti...
  Najua ipo mijitu inatumwa kuleta majungu humu ili wananchi tumuone Hosae hachapi kazi acheni huo u-pimbi nyie wehu, angalau mwana awe anapongezwa hata kama hakufaulu kwa asilimia 100 darasani enyi makalaghabaho...!!!
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Kitu cha kwanza kukifumua tukipata chama kingine kushika dola ni TISS,PCCB na Police!!hatushangai maana ndio zao kushafisha mafisadi
   
 13. g

  gangsterone2010 Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnasahau hao wavutaji wa rushwa wadogo kama polisi wanaweza kuua mamia barabarani...rushwa ni rushwa tu, kama wanawakamata wala rushwa wadogo tuwapongeze basi kwani wanasidia mpate hata asprini pale muhimbili nyie pimbi, wasingekuwa wao tungetoa rushwa hata kupata panadol hospitali.
  Mimi nawashangaa sana wabongo wenzangu...hivi hiyo mikesi mikubwa ya akina mramba, yona, liyumba, mataka, mgonja, mahalu na wengineo wengi ni kesi ndogo???...mnataka baba zenu wapelekwe mahakamani ndio muone ni kesi kubwa...kalaghabaho wa mawazo kweli nyie...!!!
   
Loading...