Ni muda gani kwa ofisi ya Rais iko vaccant? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni muda gani kwa ofisi ya Rais iko vaccant?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kingo, Aug 17, 2012.

 1. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Bila kuathiri masharti ya katiba Ibara ya 37, wadau mnijuze ni kwa muda upi rais akiwa nje ya ofisi atahesabika kama ofisi yake ipo wazi? Mf. siku 10 au 20 akiwa nje ya nchi. Mwenye ujuzi tafadhali.
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwa sasa ofisi ya Rais iko vacant mpaka uchaguzi ujao. Of course, Rais kivuli yupo anashikilia mpaka wakati huo.
   
 3. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Akifa Vice President takes charge.
  Akishindwa uchaguzi anakabidhi madaraka dakika ile Rais mpya anapoapa.

  Hivyo, Kwa mujibu wa Katiba, post hii haiwi Vacant hata sekunde moja.
   
Loading...