Ajali mbaya: Basi la Mohammed Trans laua na kujeruhi tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya: Basi la Mohammed Trans laua na kujeruhi tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tiger One, Aug 16, 2012.

 1. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Katika hali ya kusikitisha leo alfajiri basi la mohammed trans limepata ajari mbaya maeneo ya karibu na mji wa bukoba mda mfupi baada ya kutoka stand kuu. Inasemekana basi hilo liligongana na lory aina ya tiper na kusababisha kifo cha dereva wa lory palepale na majeruhi wengi abiria wa basi hilo.

  Haijajulikana ka kuna vifo zaidi kwani inasemekana majeruhi walikuwa wengi na hali zao zilikuwa mbaya. Tafdhari mwenye taarifa za karibuni aendelee kutujuza.

  Nawasilisha kwa masikitiko makubwa.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Tena??
  Too much sasa.
  Watatumaliza hawa kwa makafara yao!!!
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  aisee!
   
 4. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tunawapa pole wale wote waliofikwa na matatizo hayo. Tunazidi kuwaombea majeruhi wapone haraka. Tunawaomba wenye mawazo ya kafara na ushirikina washindwe na walegee. kwa wale wote waliopoteza maisha, mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi. Amen.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe nawe ni ajali sio "ajari".
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  It pain!
   
 8. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ajali zinapunguza wapiga kura wangu 2015
   
 9. Mourinho

  Mourinho JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,622
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
 10. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Unapotaka kupost kitu humu tumia akili si mate!!!! ikishindikana endelea kusoma post za wengine kuliko kuandika ujinga kama huu kwenye red
   
 11. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  it pains
   
 12. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  ile hoja ya MAKAFARA naanza kuiamini taratiibu..........
   
 14. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP dereva wa lory
   
 15. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Nchi hii ajali zote hizi zinatokana na RUSHWA. kwa sababu ya mdudu rushwa sheria zote za barabarani huwa hazifuatwi.
  Trafiki polisi akipiga mkono anapewa buku mbili. ukiwa na mashtaka polisi unakunjua mkono siku inapita.

  Kama ni kafara basi kafara hii inaitwa RUSHWA na haiwezi kuisha mpaka mfumo mzima kuanzia magogoni mpaka kwa VEO ubadilike.
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Muwe mnasoma kila kitu na mkaelewa na siyo kusoma kama siyo Great Thinkers.

  Nilitegemea mtakuwa mmenielewa ila naona mwataka kutafuniwa kila kitu.

  Nimeweka hii LINK hapo chini na ukisoma ujumbe wa #85 by: Don Draper, utaelewa nilimaanisha nini.

  Soma hapa na uunge na maneno yangu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/308844-waziri-wa-nishati-na-madini-mh-muhongo-afukuza-mwekezaji-aliyetaka-kuwekeza-usd-20-billion-tanzania-5.html
   
 17. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hapana ndg yangu! Bus lilopata ajari lilikuwa linaelekea Mwanza nami nilikuwa mbele na basi lingine la kampuni hiyohiyo linaloenda Dar na kwa sasa niko Moro tutatoka asubuhi. Nasikitika sana kwa watu wenye mawazo mgando fikra fupi wanao husisha utoaji wa taarifa hii na maswala ya kiitikadi na imani za kidini. Huu ni umbumbumbu na ujinga wa kukemewa kwa mlalamikaji hajui mtoa taarifa anaamini ktk itikadi gani wala dini gani. Ujinga mtupu!
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ajali. Hapana nini sasa.
   
 19. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu, si unajuwa tena - tuna tatizo katika matumizi ya consonants za "R" na "L" hata mimi ninalo SANA!
   
 20. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hivi imekuwaje - mbona kutoka stand unapanda mlima kwa takribani maili kama nne hivi kabla ya kufikia tambarare! Hapo sioni uwezekano wa Mohammed trans kwenda mwendo wa kasi, unless kama lory lilikuwa lina teremka mlima kwenda mjini lilipata matatizo ya brake na kuligonga Bus labda! Nimesikitishwa sana na ajali hiyo, sina shaka majeruhi wata hudumiwa ipasavyo, R.I.P dereva.
   
Loading...