Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam kwa wote, Eid Mubarak kwa ndugu zangu waislam! shkamoo kwa wakubwa na maaraba kwa wdogo zangu wote. Wanajamvi, kuna mdogo wangu anasoma Kenya, kanipigia sim kuniuliza kuhusu sensa, na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Matatizo kamahaya hata katika nchi zetu yameanza kujitokeza mtu unakwenda kuishi katika nchi ya mtu halafu unataka kuwapanda vichwani. Racist rant against white people by passenger on London bus...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Mujibu wa Sensa mwaka huu 2012, baadhi ya Maeneo ya Kuwahesabu watu ,kutapelekwa Vikosi vya Polisi ili kulinda Usalama wa Makarani. Hii ni kutokana na Baadhi ya Makarani wa Sensa kulalamika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1..kwa taarifa yako,watu wengi hubeba condomu au kuongelea kama vile wazijua sana lakini ni ushahidi tu,hawazitumii!. 2..Kabila linaloongoza kwa kuwania madaraka hasa ya Urais ni Wachagga ...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wakala wa vitambulisho Nida wameona waunganishe suala la sensa na ukusanyaji wa taarifa za watu kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa kwa kuwatumia makarani wa sensa, Malipo ya Nida hayapowazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ni takribani watu wanne sasa wakiwa wanauwa kikatili.wakwanza alikua ni mwanamke ambaye alibakwa na kunyongwa hadi kufa,mwanaume kukata shingwa, na wengine ambao wamekatwa shingo lakini hawajafa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf na siku tatu nilikuwa kilombero kwa shughuli mbalimbali sasa leo nimemaliza shughuli zangu nimeamua kuanza safari mapema asubuhi nilitaka gari ya asubuhi sana ili niweze fika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi, Nimesoma habari kupitia gazeti la Championi kuhusu hali mbaya ya kiafya ya mchezaji mkongwe aliyewahi kuchezea Simba kwa mafanikio makubwa na pia kucheza Taifa Stars kwa kipindi kirefu...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Nataka kuimba ya kwamba kwenye shamba kuna mamba anayejigamba ana magamba, Mamba anayejigamba ni mama mwamba asiyeyumba .......... video kwa hisani ya ramadhankhamis wa youtube
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hongera sana m4c.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kufuatia kunyamazia au kusingizia hili suala la udini likaendelea kutamkwa na viongozi wa ccm litatumaliza,,zanziba wanachoma mabaa,na makanisa,viongozi wanakaa kimya. Waziri mkuu anaulizwa swali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kwa mtu yeyote mwenye uelewa gharama za kuagiza gari aina ya Noah toka ughaibuni hadi kunifikia ni kiasi gani anisaidie nataka kujua, nimechoka kutembea kwa miguu. Naomba wadau wekeni mambo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Amani maana yake ni nini? Amani maana yake ni kuwapumbaza watanzania ili mafisadi waibe pesa, wapore maliasili na kuficha nje ya nchi? Amani ni watanzania kufa kwa kukosa huduma za afya?? Amani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha, Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L", Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water. Ewe mwanaJf...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapendwa wana jf, nimepita kwenye mitaa kadhaa ya Dar kutafuta gazeti nilipendalo la Tanzania Daima bila mafanikio. Kila ukiuliza wauzaji wanasema leo halijatoka. Kulikoni? walio karibu na...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Beatrice Shelkindo ameingia mgogoro na Mkuu wa wilaya baada ya kumugharimia mganga wa kienyeji aliyepewa jukumu la kupekuwa,nyumba za watu,makanisa na misikiti kwa lengo la kukamata wachawi na...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Tupiaa apa kila unachokijua kuhusu MV kigamboni either uimara au udhaifu wake.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ILKUWA KAMA MAIGIZO VILE LEO AMANA HOSPITAL,,KATIKA WORD YA WAMAMA WANAOSUBIRI KUJIFUNGUA,,,,AMEINGIA DR MMOJA SAA TANO ASBH,, NA KUANZA KUTOA LUGHA YA KUDHALILISHA,,ETI MBONA MMEJAA HIVI...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
AFRICA Below is a list of Recommended Natural Wonders of Africa. We invite you to discover, explore, and enjoy each of these natural wonders. Please vote to confirm these...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu Mzee Mwanakijiji wa Bagamoyo ataanza lini kutumia helikopta kwenda kwao Bagamoyo? Wakazi wa Bagamoyo Road tunateseka sana na foleni zinazosababishwa na msafara wake. Pia kutumia helikopta...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom